Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 997
- 2,320
Sote tunajua shida ya nchi hii sio Wizara ...
Shida ya Nchi hii ni CCM
Tatizo kubwa nchi hii ni CCM Tu wala sio wizara..
Kwanini?
Kwasababu kwa CCM wao ni chama kwanza,
Utu/watu baadae...
Hiyo ndio slogan yao..
Kwa maana hiyo hiyo wizara itajazwa mavijana ya CCM Tu na ili kuhudumiwa itakupasa uwe mccm kwanza..
Kwahiyo naona hapa badala ya kutulizwa vijana tutegemee kejeli na dharau za UVCCM kutambia vijana wa vyama vingine..
Maridhiano which?
Maridhiano what?
Kwanini msifanye maridhiano kabla ya uchaguzi??
D9
Nitakuwepo