Sisi walimu tuliomaliza mafunzo ya ualimu ngazi ya Astashahada miaka iliyopita, baadaye tukaamua kujiendeleza hadi ngazi ya Shahada, tunaomba ufafanuzi kuhusu changamoto inayotukabili katika ajira.
Tulishiriki usaili kwa kutumia vyeti vyetu vya Astashahada, lakini wakati wa upangaji wa ajira...
Anonymous
Thread
certificate
degree
taasisi ya elimu tanzania
vyeti
wizaraya elimu
wizarayavijana
Hii wizara ya vijana ni kuchezea pesa na kuwahaada vijana tu kwa maneno sio vitendo.
Maneno ni mengi sana kama alivyo yeye na yeye anauza maneno sio kuyatumia angeweza kutoboa kuliko kukubari na yeye kuwa muwajiri.
Maneno yake ukimsikiliza unaweza kusema huyu ni tajiri kuzidi Mo na elon musk...
SUALA LA MIKOPO KWA VIJANA CHINI YA WIZARA YA MAENDELEO YA VIJANA BADO NI CHANGAMOTO
Ngome ya Vijana ACT Wazalendo tumeona inayoitwa orodha ya wanufaika wa maombi ya mkopo kupitia mfuko wa Maendeleo ya Vijana chini ya Wizara ya Maendeleo ya Vijana iliyotolewa tarehe 28 Aprili, 2026.
Itakumbukwa...
Kumekucha wana JF
Niende kwenye Mada kiufupi sana.
Binafsi nimekuwa disappointed na hii Wizara. Na Moja ya Jambo la hovyo kabisa ni kusema Vijana watume Maombi kwenye E-mail address ya Wizara of which the email is not authenticated & secured. Kabla hata ya deadline email ilikuwa imejaa...
Utangulizi
Ngome ya vijana ACT-Wazalendo kwa niaba ya vijana, tumefuatilia hotuba ya bajeti ya Mheshimiwa Waziri Joel Arthur Nanauka aliyoitoa jana tarehe 20 Aprili, 2026 kuhusu Mpango na Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Vijana kwa Mwaka 2026/2027.
Katika ufuatiliaji wetu...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Nanauka leo Aprili 20, 2026 atawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma.
Aidha, kabla ya bajeti hiyo kuwasilishwa, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, itawasilisha...
Baada ya sekeseke la Oct29 kuunda wizara ya vijana kulionekana kama sehemu ya majibu na tiba ya kilichotokea na kilichosababisha vijana wakubali kutumika.
Hata hivyo, vijana ni nani na wako wapi?. Vijana ni wale wenye umri chini ya miaka 40 hivi. Vijana hawa wengi wao wako kwenye familia...
Moja ya wizara za kwanza kabisa kuundwa mara baada ya Tanganyika kupata uhuru ni ya vijana, iiitwa "wizara ya utamaduni wa taifa na vijana" (ministry of national culture and youth).
Waziri wa wizara hiyo aliitwa Leo Nang'wanda Sijaona akitokea huko huko kwa akina Nanauka. Lakini Leo Nang'wanda...
Wanabodi,
Kwanza nimpongeze huyu Kijana mwenzetu kwa kuteuliwa Waziri mara tu baada ya kupata Ubunge.
Ushauri wangu hatutaki ukawe Motivation Speaker tunataka matokeo ya fursa za Ajira na akili iliyochangamka katika kuhakikisha Kila kijana wa Taifa anakuwa na Ajira yenye kipato cha kueleweka...
Salut kwenu great thinkers wa jukwaa hili la JF.
Binafsi hii wizara mpya inayoitwa wizara ya vijana naona lengo lake ni kuwapa nguvu vijana wajinga kama Lucas Mwashambwa waendelee kusifu madudu yanayofanywa na serikali.
Rai yangu kwa vijana wenzangu, tusikubali kabisa kutolewa kwenye relief na...
Sote tunajua shida ya nchi hii sio Wizara ...
Shida ya Nchi hii ni CCM
Tatizo kubwa nchi hii ni CCM Tu wala sio wizara..
Kwanini?
Kwasababu kwa CCM wao ni chama kwanza,
Utu/watu baadae...
Hiyo ndio slogan yao..
Kwa maana hiyo hiyo wizara itajazwa mavijana ya CCM Tu na ili kuhudumiwa itakupasa...
Rais Samia amesema tumeamua kuwa na wizara kamili badala ya kuwa na idara ndani ya wizara yenye mambo mengi, vile vile ninafikiria kuwa na washauri wa masuala ya vijana ndani ya ofisi ya rais.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.