HiY

FP nakuona......mi nimeamua kujinyamazia tu
 
Last edited by a moderator:
FP nakuona......mi nimeamua kujinyamazia tu
usinyamaze my dear, sema tu. au wewe unaweza kuwa my best friend, unalionaje hilo? nitazungumza na mume mtarajiwa ambaye kapotea kabisa TANMO kuhusu hili, na wewe ongea na wake zako kama watakubali
 
Last edited by a moderator:
Umfanyie ukaguzi na kisha muache aende maana wewe ni fataki,ucje haribu mwili wake bure.
Kwanza hata yeye nahisi ataniharibu buree natamani kuahirisha ukaguzi
Ngoja niwasiliane na platozoom aje amkague!
Halafu Madame B nahisi kama umenyweshwa sumu na kamtu kamoja kanaitwa FP ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
usinyamaze my dear, sema tu. au wewe unaweza kuwa my best friend, unalionaje hilo? nitazungumza na mume mtarajiwa ambaye kapotea kabisa TANMO kuhusu hili, na wewe ongea na wake zako kama watakubali
Kama mumeo mtarajiwa kapotea kwanini unahangaika kuumiza kichwa FP ?
Mi niko najiandaa kwenda kulea mtoto wetu na Amyner this wiki so hata mi utanikosa soon
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…