hivvi ni lini usingizi utaisha....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivvi ni lini usingizi utaisha....?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by driller, Dec 10, 2011.

 1. driller

  driller JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  najua wachache tunaweza kua ni wahusika.... ila jamani hivi ni lini tutaamka kwenye mpira hapa nchini..? mbona tunatia aibu hivi hapa kwetu...! aaaagh..!
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Acha kuangalia, hutaiona hiyo aibu
   
 3. driller

  driller JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  aaah mzee kongosho yani huwezi amini..! washkaji wa nje tena walioko kwenye nchi zinazofanya vizuri yani wanatucheka kinyama..! nina jamaa mmoja mganda yani jamaa anaongea kinyama mkuu..! mimi inaniuma kweli..! hata nikiacha kuangalia nitasikia shida ndio hiyo..!
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Huu usingizi ni dose,ikiisha tutaamka usijali
   
 5. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  waambieni ccm wabadili nembo yao kwanza, bila hivyo tutaendelea kupigwa nyundo na kufa then tutachimbiwa na lile jembe.
   
 6. driller

  driller JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hivi tangu enzi za maximo hiyo dosage haijaisha kweli..? mimi nadhani wabadilishe ile timu nzima manake hadi wakina mrisho ngasa naona wamesha choka yani..! yani ni mambuzi tu wanafanya kule..! mimi inaniuma sana yani jamaa wanakuja kuchezea kwetu halafu tunabebwa halafu bado hatubebekiiii aaaah...!
   
 7. driller

  driller JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ile nembo nayo imekaa kifisadi tu..! imejaa oppression tu...! ni magamba tu wale tena hawataki kuyavua..! ukute tunalaaniwa kwasababu yao wale eeeh...! umenipa kitu cha kufikiri unajua...! ila inauma sana yani..!
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  hahaha kongosho nimeipenda hii
   
 9. driller

  driller JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mh haya buwana...!
   
 10. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao wakina ngasa miaka yote wao miaka yao ni 25 tu haijawahi kupanda,hivi haiwezekani kutafuta vipaji vipya mitaani?
   
 11. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Siku itakapoisha kula, kwenda haja kubwa/ndogo, kuduu, nk
   
 12. driller

  driller JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  umeona eeh...? vipaji viko vingi kinyama mtaani..! lakini hawa jamaa wamen'gan'gana na nsajigwa sijui nani...! yani aah.. unacheki kitu kinachopigwa na uganda vs rwanda...? hapo nakwambia tz tungekua tumenyukwa nyingi kinyama yani..! kuna jamaa mmoja aliniambia kua hata majina yanaonyesha udhaifu..! nyie mnaitwa stars..! kazi yenu kuwamulikia wenzenu njia tu..! cheki rwanda wanaitwa amavubi..! yaani manyigu..! uganda.. the cranes..! wananyanyua mizigo mizito..! ila sisi na wazee wetu wakina mgosi kazi yetu kumulikiia wenzetu.. stars... aaah wanaboa bwana..!
   
 13. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Hata mbuyu ulianza kama mbuyu.
   
 14. driller

  driller JF-Expert Member

  #14
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  sasa mbona sisi tunaanza kama mchicha...!?
   
 15. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Usihofu, kwa kuwa miaka 50 imepita kuanzia mwaka wa 51 mambo yatakuwa mwemweremwemwere.
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hali ya maisha ngumu, mtu hujui utakula nini mchana alafu ukajifanye kushangilia mpira
   
 17. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #17
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Mi nahisi hata tukija cheza na iraq watatupiga ingawa jamaa miaka yote walikuwa vitani...zis iz tz bana...
   
 18. driller

  driller JF-Expert Member

  #18
  Dec 11, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  tanzania tunaboa kinyama yani
   
 19. libent

  libent JF-Expert Member

  #19
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  laana ilianzia kwa mzee mwinyi kuibatiza jina kichwa cha mwendawazimu, jina hili halitafutika, tangu lini wachezaji wakawa ni wavuta bangi walevi wajinga,acha tuzidi kinyolewa. Nashut down
   
Loading...