Hivi zile ajira 13000 za waalimu kulikoni?

UZURI wa maendeleo huwaga hayana chama,nawasihi mnaosubiri ajira mchape kazi sana,kwasababu hapa kazi tuu
 
Uchaguzi umeisha salama ingawa hakuna chochote kinachofanyika kwenye ardhi kikawa na hakina dosari.tulikuwa tunaulizia hivi zile ajira 130000 zimeenda wapi?! Kwani mpaka sasa hakuna chochote na tamisemi tangazo wamefuta.

Na kuna taarifa kwamba kuna maagizo kutoka juu yaliagiza tangazo lifutwe na na waalimu waliochaguliwa majibu yawe pending mpaka hapo watakapo tangaza upya.

Kwa maaana hiyo ajira za ualimu hazitakuwepo mpaka 2023 ukizingatia sasa hivi matoke ya wanafunzi ni mazuri hata wakikosa waalimu.
DUH
 
Back
Top Bottom