Hivi Zanzibar inaongozwa kidini?

Hivi Zanzibar inaongozwa kidini?

ZANZIBAR KISIWA KINAKARIBIA KUZAMA MUMEJAZANA MPK BASI MNAHARIBU CULTURE ZETU MILA ZETU YAANI UCHAFU MKUONA BEACH NDIO AIBU MNAVUA NGUO MNAKOGA UCHII AU NA VICHUPI VYEUSIIIIII
AIBU
Kwani unateseka ?
Acha watu waenjoy maisha we baki na dini yako
 
Siongelei DINI naongelea NCHI YANGU NCHI YA WAZAZI WANGU MLIOITEKA NA KUTUBURUZA NA KUTUNYANGANYA RASILIMALI ZETUU
 
99 percent ya population ni moslems, that is why.
Umofya kwenu,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, hivi huko Zanzibar wanaongozwa kidini au la? Maana naona mambo mengi ya kijamii, dini moja inaonekana kupewa kipaumbele.

Mfano vyombo vya habari ZBC zimeadopt taratibu za dini fulani kwa kuonesha ibada zao mara kwa mara.

Imenibidi niulize kwani Serikali huko visiwani ina dini?

Nawasilisha
 
Zanzibar haiyongozwi kidini ila ila utamafuni na mila ni za Kislaamu ziko karibu sana
 
Umesahau pia kuwa wakati wa Kwaresma ni halali kula mchana ila wakati wa ramadhan ni haramu kula mchana
 
ZANZIBAR KISIWA KINAKARIBIA KUZAMA MUMEJAZANA MPK BASI MNAHARIBU CULTURE ZETU MILA ZETU YAANI UCHAFU MKUONA BEACH NDIO AIBU MNAVUA NGUO MNAKOGA UCHII AU NA VICHUPI VYEUSIIIIII
AIBU
Mimi ni mwenyeji na mzawa wa pwani, wazanzibari na wapemba tunakaribiana sana kwa mambo mengi, mlipokimbia visiwani na kuja bara, tuliwakaribisha kwa mikono miwili bila ubaguzi, mkashamiri, leo mnakuja na ubaguzi na kujiona.
 
Huwezi kutufananisha na nyinyi ZANZIBAR sawa na Mkoa mmoja wa Tangannyika mkiingia laki mbili tuu mshafuta utambulisho wetu TUNA HAKI YA KULINDA UTAMBULISHO HUO MSIUFUTE VICHWA MAJI
Na mnakuja kufanya nini wakati hakuna mlichokua hamna kwenu

"WIVU TUU"
 
ZANZIBAR KISIWA KINAKARIBIA KUZAMA MUMEJAZANA MPK BASI MNAHARIBU CULTURE ZETU MILA ZETU YAANI UCHAFU MKUONA BEACH NDIO AIBU MNAVUA NGUO MNAKOGA UCHII AU NA VICHUPI VYEUSIIIIII
AIBU
Dah kisiwa kinazama au kina cha maji kinaongezeka?
Kwa io ulitaka waoge na yale majuba meusi!
 
Zanzibar si nchi ya kidini bali asilimia kubwa ya wananchi wake ni waislamu hivyo wanaishi kwa kufuata mila, desturi na utamaduni wa kiislamu, sio tu waislamu hata watu wa imani nyingine walioishi Zanzibar kwa miaka mingi, wengi wao (Pamoja na kwamba si waislamu) lakini wanafuata desturi za kiislamu, mfano salamu, lugha na matamshi yake, mavazi (kuna wanawake Unguja jinsi wanavyovaa utafikiri wazanzibar lakini hapana, bali wanafuata tu desturi za watu wa huko na wanaendelea na dini/imani zao.

Kwa mfano
Kwa wakristo hasa (baadhi) maeneo ya bara, kuna sala/ibada ya jumuiya ambayo kikundi cha waumini hutembelea nyumba/kaya ya muumini fulani kwa ajili ya kufanya ibada ya pamoja. Hii ni desturi au utamaduni uliojengeka kwenye baadhi ya maeneo, sio sheria au amri ya serikali bali ni utamaduni wa kikundi au jamii fulani ya watu. Hivyo kwa mtu asiye na uzoefu wa kutembea maeneo mbalimbali nchini anaweza kudhani kwamba sala/ibada hii ya jumuiya inapaswa kufanyika kila mahali, kumbe sivyo, huo ni utamaduni wa eneo hilo au kikundi fulani cha watu.

Hivyo, kama watanzania tunapaswa kutambua kwamba Tanzania ni nchi kubwa na licha ya dini mbalimbali zilizopo nchini wananchi wake wana mila, desturi tofauti kutokana na historia na maeneo wanayoishi.

TUJIFUNZE KUTAMBUA NA KUHESHIMU MILA, DESTURI NA TAMADUNI ZA WENGINE, SI VEMA NA NI JAMBO LA HATARI SANA KUKEJELI MILA, DESTURI, TAMADUNI NA IMANI ZA WENGINE.

WENGI WENYE TABIA YA KUKEJELI DESTURI, MILA, TAMADUNI NA IMANI ZA WENGINE WANAPASWA WASAMEHEWE, KWANI KUNA UWEZEKANO MKUBWA KWAMBA NI MBUMBUMBU WASIOJUA WATENDALO
 
Umofya kwenu,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, hivi huko Zanzibar wanaongozwa kidini au la? Maana naona mambo mengi ya kijamii, dini moja inaonekana kupewa kipaumbele.

Mfano vyombo vya habari ZBC zimeadopt taratibu za dini fulani kwa kuonesha ibada zao mara kwa mara.

Imenibidi niulize kwani Serikali huko visiwani ina dini?

Nawasilisha
Serikali ya Zanzibar ni ya kiislam toka zamani. Serikali ya muungano (Tanzania ) haina dini.
 
Kwani jina nchi isiyo ya kidini.

Dini ni imani na ndio maana hata mzee nyerere aliwahi kuandika, Ujamaa ni imani kwa maana Ujamaa nayo ni dini. Binafsi nipo ktk uandishi wa kitabu kwa jina la Ubepari ni imani.

Uongozi wa nchi nyingi huwa ktk kuifavour dini moja kwa kujua au kutojua.

Hivyo usiumie kuona Zanzibar ktk hali hiyo.

Kwann UJERUMANI, UK ni nchi za kidini na siku za mapumziko ni j1 na j2.

Na kwann Saudi arabia, Abi Dhabi ni nchi za kidini na Sikh za mapumziko ni alhamis na ijumaa.

Kwanini Tz ambayo inasema haina dini ina favour upande wa nchi za dini moja.

Kimsingi nchi isiyo na dini ilipaswa kupumzika kuanzia ijumaa, j1 na j2

Au

Siku ya j3, au j4 au j5 au alhamis

Hii ndio fact
 
Huwezi kutufananisha na nyinyi ZANZIBAR sawa na Mkoa mmoja wa Tangannyika mkiingia laki mbili tuu mshafuta utambulisho wetu TUNA HAKI YA KULINDA UTAMBULISHO HUO MSIUFUTE VICHWA MAJI
Na mnakuja kufanya nini wakati hakuna mlichokua hamna kwenu

"WIVU TUU"
Wazungu wakitembea uchi bahari hamusemi kitu, lakini watumbatu wenzenu wakiogelea na chupi nyeuzi nongwa.
 
Tatizo lenyewe tunaona dini au imani ni ukristo na uislamu tu, wasio waumini wa hizo dini hatuwafikirii kabisa na ni kwa sababu ya uchache wao hata kama wao nao wana sikukuu zao au tunawakwanza kwa nama yeyote kutokana na imani zetu hilo hakuna mwenye kujari.

Hebu vuta picha usingekuwa muislamu wala mkristo.
 
Umesahau pia kuwa wakati wa Kwaresma ni halali kula mchana ila wakati wa ramadhan ni haramu kula mchana
Kwani kuna mtu hata mmoja anayefunga kwaresma? Mana toka nizaliwe sijawahi kumuona hata mmoja, ingawa upande wa mamangu ni wakristo.
 
Umofya kwenu,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, hivi huko Zanzibar wanaongozwa kidini au la? Maana naona mambo mengi ya kijamii, dini moja inaonekana kupewa kipaumbele.

Mfano vyombo vya habari ZBC zimeadopt taratibu za dini fulani kwa kuonesha ibada zao mara kwa mara.

Imenibidi niulize kwani Serikali huko visiwani ina dini?

Nawasilisha
Ni kukosa aibu kuitaja Zanzibar kuwa nchi.
 
Umofya kwenu,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, hivi huko Zanzibar wanaongozwa kidini au la? Maana naona mambo mengi ya kijamii, dini moja inaonekana kupewa kipaumbele.

Mfano vyombo vya habari ZBC zimeadopt taratibu za dini fulani kwa kuonesha ibada zao mara kwa mara.

Imenibidi niulize kwani Serikali huko visiwani ina dini?

Nawasilisha
Haiongozwi kidini ila tunafuata taratibu za kiislam maana karibia wazanzibar wote ni waislam.
 
Back
Top Bottom