evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,774
Umofya kwenu,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, hivi huko Zanzibar wanaongozwa kidini au la? Maana naona mambo mengi ya kijamii, dini moja inaonekana kupewa kipaumbele.
Mfano vyombo vya habari ZBC zimeadopt taratibu za dini fulani kwa kuonesha ibada zao mara kwa mara.
Imenibidi niulize kwani Serikali huko visiwani ina dini?
Nawasilisha