Hivi Zanzibar inaongozwa kidini?

Hivi Zanzibar inaongozwa kidini?

Umofya kwenu,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, hivi huko Zanzibar wanaongozwa kidini au la? Maana naona mambo mengi ya kijamii, dini moja inaonekana kupewa kipaumbele.

Mfano vyombo vya habari ZBC zimeadopt taratibu za dini fulani kwa kuonesha ibada zao mara kwa mara.

Imenibidi niulize kwani Serikali huko visiwani ina dini?

Nawasilisha
Uchonganishi huu....
 
Na bado leo subiria uone Dk.Shein akikagua gwaride la Eid
 
Wazungu wakitembea uchi bahari hamusemi kitu, lakini watumbatu wenzenu wakiogelea na chupi nyeuzi nongwa.
Wazungu hawaogelei maeneo ya PUBLIC MTAOGELEAJE NA VICHUPI MAENEO YA WAZI MNAFIKIR MKO KTK MITO YENU YA URUGURU
MNATIA KINYAAA
 
ZANZIBAR KISIWA KINAKARIBIA KUZAMA MUMEJAZANA MPK BASI MNAHARIBU CULTURE ZETU MILA ZETU YAANI UCHAFU MKUONA BEACH NDIO AIBU MNAVUA NGUO MNAKOGA UCHII AU NA VICHUPI VYEUSIIIIII
AIBU
😂😄
 
ZANZIBAR KISIWA KINAKARIBIA KUZAMA MUMEJAZANA MPK BASI MNAHARIBU CULTURE ZETU MILA ZETU YAANI UCHAFU MKUONA BEACH NDIO AIBU MNAVUA NGUO MNAKOGA UCHII AU NA VICHUPI VYEUSIIIIII
AIBU
Hakuna watu wachafu kama wanzanzibari, kipindupindu lazima kila mwaka kiwepo ila hamtangazi, nimefika mara nne sokoni hakufai mainzi kila kona, sehemu za kulia ni uchafu tupu, unakuta mwanamke anaburuza na sijui mavazi ghani hayo uchafu wote aningia nao ndani afu anavua viatu, Wtf is that?

Tabia za kulana nyuma ndio mahala pake, afu mnajitia washika dini?

Mpaka mfumo wa elimu mmebadilisha eti mwarabu hakutumikisha waafrika ila mzungu?

Ha ha ha, endeleeni kuwatumikia mabwana zenu huku mkishika mkia kielimu kila uchao. Shame on you.
 
TUNAJUWANA IKO SIKU UKWELI UTADHIHIR HIVI VI THREAD VYEMU HUMU MNAZIDI KUWAAMSHA WALIOLALA MIONGONI MWETU
Katika siku nimecheka kwa sauti ni leo. Nikukumbushe tu kwa kuwa ni ndoto endelea kulala. OIS mmejidanganya mmekwama. Ninachoweza kuwashauri ni kuhakikisha muungano unadumu. Vinginevyo mngeshakuwa wakimbizi. THIS IS TANZANIA. KAMA UNAHISI MTAFANIKIWA SUBIR UTAELEWA. MBINU BADO ZINAIMARISHWA. KUJITENGA NI NGUMU. PINI IMESHACHOMELEWA
 
Hhhhhhh vile mshakufa wangapi mpk sasa kwa kipindu pindu toka kianze???
Denguo vile imemaliza??
Nyumba zenu za kupanda vile foleni za kwenda chooni nasikia huwa zinaanza tisa usiku na kila mpangaji anapewa dkk 10 tuu na mtu wa mwisho anaingia chooni saa mbili

Mvua zikianza ndio mnaanza kutapisha vyooo kama vyotee

Lkn chumba cha kulala ndoo za maji jiko misuwaki

Na kule kutoka na kanga za kiunoni msuwaki mdomoni mh siwamalizi MPO MBALIIIIII WADANGANYIKAA
Hakuna watu wachafu kama wanzanzibari, kipindupindu lazima kila mwaka kiwepo ila hamtangazi, nimefika mara nne sokoni hakufai mainzi kila kona, sehemu za kulia ni uchafu tupu, unakuta mwanamke anaburuza na sijui mavazi ghani hayo uchafu wote aningia nao ndani afu anavua viatu, Wtf is that?

Tabia za kulana nyuma ndio mahala pake, afu mnajitia washika dini?

Mpaka mfumo wa elimu mmebadilisha eti mwarabu hakutumikisha waafrika ila mzungu?

Ha ha ha, endeleeni kuwatumikia mabwana zenu huku mkishika mkia kielimu kila uchao. Shame on you.
 
Siongelei DINI naongelea NCHI YANGU NCHI YA WAZAZI WANGU MLIOITEKA NA KUTUBURUZA NA KUTUNYANGANYA RASILIMALI ZETUU
IPI iyo tuliyowabyanganya. Hebu taja! Uvivu had kufikiria ndo mana huna kisogo.
 
Katika siku nimecheka kwa sauti ni leo. Nikukumbushe tu kwa kuwa ni ndoto endelea kulala. OIS mmejidanganya mmekwama. Ninachoweza kuwashauri ni kuhakikisha muungano unadumu. Vinginevyo mngeshakuwa wakimbizi. THIS IS TANZANIA. KAMA UNAHISI MTAFANIKIWA SUBIR UTAELEWA. MBINU BADO ZINAIMARISHWA. KUJITENGA NI NGUMU. PINI IMESHACHOMELEWA
Tutaona mwisho wake kama vile nyinyi mlitoka kwa MUENGEREZA WW MKOLONI MWEUSI PIA UTANGOKA USIJIDANGANYE MDANGANYIKA MPOTOFUU
 
Kwao ndo yenye nguvu zaidi ndo maana inapewa sana kipaumbele
Hivi hiyo kwa maoni yako ni jambo la msingi sana?

Kama haijatamkwa kama ile ni 'nchi' ya dini fulani sitarajii kuona hayo yanayoendelea.
 
Tutaona mwisho wake kama vile nyinyi mlitoka kwa MUENGEREZA WW MKOLONI MWEUSI PIA UTANGOKA USIJIDANGANYE MDANGANYIKA MPOTOFUU
Hahaaaaa me ndio nakuambia sasa. Subiri nikimaliza shule ninakuja zenji ndo naja pigilia misimari kila kona
 
Misimarii?? Ndio nini kama unataka MSUMMARI njoo nikukune NYAU WEE
Hahaaaaa me ndio nakuambia sasa. Subiri nikimaliza shule ninakuja zenji ndo naja pigilia misimari kila kona
 
Misimarii?? Ndio nini kama unataka MSUMMARI njoo nikukune NYAU WEE
Amini nachokuambia. Iyo ni typing error. Usitoke povu. Mm naja zenji na ntakuwa kiongozi I SWEAR TO MY GOD.
 
Back
Top Bottom