usiniguse
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,725
- 1,194
Hapo ndipo nilipochoka ,nchi sasa inakuwa jijiWale hawajitambui kabisa, viongozi wanaongoza kutojana na imani yao, juzi tuliambiwa kuwa zanzibar ni jiji, pale pametekwa panahitaji ukombozi.
Hapo ndipo nilipochoka ,nchi sasa inakuwa jijiWale hawajitambui kabisa, viongozi wanaongoza kutojana na imani yao, juzi tuliambiwa kuwa zanzibar ni jiji, pale pametekwa panahitaji ukombozi.
Mbona dini moja inapewa kipaumbele sasa?
Zanzibar ni kama VATICAN
Acha kufananisha vitu vya ivo bana. Hatujaidhinisha kama waitaliano. Pale vaticani ni dini moja tuuuu. Zenje nawaambia tena ni sehemu ndogo ya Tanzania iliyokaliwa na wengi wa din ya KIISLAMU.
Mmmmmm mbona kuna ambao ni WAKRISTO. sema din moja imelowea sana ndio maan MUSLIM they must be given fever. Ndo mana DIN zingine zilozopo hazina complain. PIA nchi ijadiliwe but DINI tuziache iman ni personal.Wazanzibar ni Waislamu, Wakrsto ni Wavamizi toka Tanganyika tu hawana haki yoyote.
mmhh.. sidhani kwani kondoa ni dini gani!?Kondoa
Ova
Amini nachokuambia. Iyo ni typing error. Usitoke povu. Mm naja zenji na ntakuwa kiongozi I SWEAR TO MY GOD.
Nafikiri tunaenda SawaMmmmmm mbona kuna ambao ni WAKRISTO. sema din moja imelowea sana ndio maan MUSLIM they must be given fever. Ndo mana DIN zingine zilozopo hazina complain. PIA nchi ijadiliwe but DINI tuziache iman ni personal.
We ulitakaje wakati Makafiri hawafiki hata asilimia 10?Umofya kwenu,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, hivi huko Zanzibar wanaongozwa kidini au la? Maana naona mambo mengi ya kijamii, dini moja inaonekana kupewa kipaumbele.
Mfano vyombo vya habari ZBC zimeadopt taratibu za dini fulani kwa kuonesha ibada zao mara kwa mara.
Imenibidi niulize kwani Serikali huko visiwani ina dini?
Nawasilisha
Nao ndo wanataka hivyo ndio maana hawawataki watanganyikaAcha kufananisha vitu vya ivo bana. Hatujaidhinisha kama waitaliano. Pale vaticani ni dini moja tuuuu. Zenje nawaambia tena ni sehemu ndogo ya Tanzania iliyokaliwa na wengi wa din ya KIISLAMU.
Umofya kwenu,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, hivi huko Zanzibar wanaongozwa kidini au la? Maana naona mambo mengi ya kijamii, dini moja inaonekana kupewa kipaumbele.
Mfano vyombo vya habari ZBC zimeadopt taratibu za dini fulani kwa kuonesha ibada zao mara kwa mara.
Imenibidi niulize kwani Serikali huko visiwani ina dini?
Nawasilisha
Ni tatizo kutokuwa na chogo. Ona majibu sasa.Mkoa wa Baba yako au wa Mama yako??
Kuna kikao cha kigawana vipau mbele ambacho ulihudhuria na ukaambiwa dini ni mbili ?Mbona dini moja inapewa kipaumbele sasa?
Dini hiyo imekuwa sehemu ya utamaduni waoMbona dini moja inapewa kipaumbele sasa?
Kwani nyie mna dini au mna 'mambo ya kupanga panga' tuu !Shame on you
kwa sababu waislam wako 99.9%, makafiri 0.1% .