Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,557
Aaah...! Kumbe ni nongwa tu inakusumbua !Nothing can stop me ,mlivyo wazembe tutawatawala mpaka kieleweke
Kule hawawezi kutangaza 'Yesu mungu' wakati wanajua ni uongo.
Aaah...! Kumbe ni nongwa tu inakusumbua !Nothing can stop me ,mlivyo wazembe tutawatawala mpaka kieleweke
Kama unalijua hilo huu uzi wa nini !?Kwani unateseka ?
Acha watu waenjoy maisha we baki na dini yako
Kumbe ZNZ bado wamelala.TUNAJUWANA IKO SIKU UKWELI UTADHIHIR HIVI VI THREAD VYEMU HUMU MNAZIDI KUWAAMSHA WALIOLALA MIONGONI MWETU
HUWEZI KUWAONA KWA KUWA HAWAJITANGAZI KAMA NINYIKwani kuna mtu hata mmoja anayefunga kwaresma? Mana toka nizaliwe sijawahi kumuona hata mmoja, ingawa upande wa mamangu ni wakristo.
Ndugu una encourage watu wa uane! Kwani sisiemu imewekwa nani? Jenga tabia ya kuheshimu saduku la kuraKumbe ZNZ bado wamelala.
Amkeni basi wote tukombolewe kutoka mikononi mwa haya MACCM ...............!!
Wapi nime encourage watu wauwane .......... Please talk for yourself.Ndugu una encourage watu wa uane! Kwani sisiemu imewekwa nani? Jenga tabia ya kuheshimu saduku la kura
Kwanini mipaka iliyowekwa na wakoloni mnaiona kama imewekwa na Mungu? Tukiweka mipaka sisi wenyewe kwanini maswali mengi? Zanzibar ni nchi katika sehemu ya Tanzania!Wapi nime encourage watu wauwane .......... Please talk for yourself.
Talking about sanduku la kura .... Yah right. Free and Fair!!?
Ile sio nchi ni mkoa
Mkoa wa Baba yako au wa Mama yako??
Wewe ndo unapata tabu sanakutukana si ugwana akili yako hata mipaka ya nchi unamini imewekwa na MunguAkili zako kama za Lukuvi, Mtapata tabu sana..
Toa hoja acha matusi tumia kwa msaada wa tecnoHahaha
Punguza hasira mzee baba
Toa hoja acha matusi tumia kwa msaada wa tecno
Kiwanis chogo lako linakusaidia uwezo wa kufikir?Ni tatizo kutokuwa na chogo. Ona majibu sasa.
Ndugu una encourage watu wa uane! Kwani sisiemu imewekwa nani? Jenga tabia ya kuheshimu saduku la kura
Mbona ruksa kuota ndoto mchana, Zanzibar hatukugawiwa kwenye sinia ila tulimwa damu zetu kumwondoa mwarabu ndipo tukaitwa.REPUBLIC OF ZANZIBAR
IPO NJIANI ASILI INAJIREJEA SOON MEZENI WEMBE WATANGANYIKA MALIMBUKENI
Kwanini mipaka iliyowekwa na wakoloni mnaiona kama imewekwa na Mungu? Tukiweka mipaka sisi wenyewe kwanini maswali mengi? Zanzibar ni nchi katika sehemu ya Tanzania!