Alikuwa shule gani?
Kama si mwanaasha ya 32 basi kataga
Ana III ya 21, penalty ya Maths.. Amejitahidi, lol!
duh, kaka/dada mbona umemkomalia sana huyu binti? Binafsi siwezi kuanika taarifa zake zaidi ya nilizoweka. Ila ndo hivyo mwenzako kombi zimebalance.. viva luluto!

kwa ninavyomsikia labda kama alivua naniliu...