HIVI YULE LULU MUIGIZAJI KAPATA DIVISION ya NGAPI ?

HIVI YULE LULU MUIGIZAJI KAPATA DIVISION ya NGAPI ?

Mnahangaiiiiika, haya hapa matokeo yake

[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]P1475/0074
[/TD]
[TD="width: 4%"] F
[/TD]
[TD="width: 22%"] ELIZABETH EMMANUEL
[/TD]
[TD="width: 6%"] 35
[/TD]
[TD="width: 4%"] FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Iweje awe pc na hajawahi kukabiliana na necta hata mara moja
 
Elizabeth michael kimemeta 33 iv civ-f hist-d geo-f kisw-d engl-f bio-f b/math-f s3548/0005
 
Hata kama angekua amefaulu nisingeshangaa! Nyie mmesahau yule mama aliyekwenda kwenye vyombo vya habari kulalamika kua kwanini mtoto wake amefaulu na huku hajui kusoma na kuandika? Hizo ndizo shule za bongo.

Ile si ilikuwa std 7 ni tofauti na fm4
 
Alifutiwa matokeo nahic atakuwa ni mmoja kati ya wale walioporomosha matusi kwenye booklet!!
 
Mnahangaiiiiika, haya hapa matokeo yake
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]P1475/0074
[/TD]
[TD="width: 4%"] F
[/TD]
[TD="width: 22%"] ELIZABETH EMMANUEL
[/TD]
[TD="width: 6%"] 35
[/TD]
[TD="width: 4%"] FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
teh teh teh bora MwanaAsha!
 
ina maana alikuwa ana resit?mbna namba inaanza na P na sio S?
 
@jonas kileo...ebwana hyo namba s3548/0005 sio ya Elizabeth M. Kimemeta ni ya dada wa Midway sea anaitwa Ester B. Malisa...umepotosha umma kaka. 2peni matokeo ya lulu pls,yan mi hata akiwa na point 34 naandaman kulipinga baraza walah.
 
@jonas kileo...ebwana hyo namba s3548/0005 sio ya elizabeth m. Kimemeta ni ya dada wa midway sea anaitwa ester b. Malisa...umepotosha umma kaka. 2peni matokeo ya lulu pls,yan mi hata akiwa na point 34 naandaman kulipinga baraza walah.

bro inaonekana uliwahi kulipia karo au sehemu ya malipo katika masomo yake kwani mpaka wewe kuandamana baraza si kawaida yako.
 
Back
Top Bottom