Hivi Yokozuna ni kinywaji?

Hivi Yokozuna ni kinywaji?

Kwenye ule wimbo wa baddest 47, unaoimbwa hivi, sijui nikagongee nyagi au nikagongee veve,, sijui nikagongee banana au nikagongee yokozuna, anaejua maana ya kihuni ya yokozuna ni nn atuambie humu..

Bcoz nilijaribu ku-google maana ya yokozuna, lkn maana nlioipata haiendani na wimbo..
Kutoka Google
31412369-7F29-433C-B88A-23F45D950AB4.jpeg
 
Yokozuna = ni pombe inayotengenezwa locally na kuwa packed kwenye vichupa used kama vile banana, inapatikana sana kusini mwa kenya, malawi na zambia, na kwa Tanzania utaikuta sana Rombo na mbeya(mpakani malawi)...

Verve = Ni aina ya pombe kali inayowekwa kwenye viroba au chupa kutoka Malawi, Hivyo jamaa anamaanisha pombe hiyo na sio milungi..

kumbuka baddest anatokea kyela, na hata original ya wimbo huo kaufanya kyela na kwa huku mbeya umetoka mwaka juzi(2018), nashangaa DSM umeanza kusikika late 2019..

Maana ya wimbo ni kwamba jamaa ameopoa demu sasa anataka akamie shoo, so anawaza aboost kwa pombe gani ili apige shoo kisawasawa...

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 
Umetisha Msafwa wa Simambwe. Nilikua sijui kwamba jamaa anatokea Kyela, pamoja na huo ufafanuzi wa pombe alizozitaja katika wimbo.
Yokozuna = ni pombe inayotengenezwa locally na kuwa packed kwenye vichupa used kama vile banana, inapatikana sana kusini mwa kenya, malawi na zambia, na kwa Tanzania utaikuta sana Rombo na mbeya(mpakani malawi)...

Verve = Ni aina ya pombe kali inayowekwa kwenye viroba au chupa kutoka Malawi, Hivyo jamaa anamaanisha pombe hiyo na sio milungi..

kumbuka baddest anatokea kyela, na hata original ya wimbo huo kaufanya kyela na kwa huku mbeya umetoka mwaka juzi(2018), nashangaa DSM umeanza kusikika late 2019..

Maana ya wimbo ni kwamba jamaa ameopoa demu sasa anataka akamie shoo, so anawaza aboost kwa pombe gani ili apige shoo kisawasawa...

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo verve kuna siku shobo zangu asubuhi mapema tu nilizigonga halafu nilikuwa sijala kitu mbona shughuli niliiona nilishangaa ata nilifika vipi home mpaka leo hii jamaa akija na mipombe yake ya kutoka mbeya mi naishia kuiangalia tu pombe gani unakunywa mapigo ya moyo yanabadilika
 
Mkuu usirudie kuikurupukia hii pombe ,utakufa....

Ogopa sana pombe ambayo hata walevi sugu wanainywa kwa mawenge...

Ata hamu nazo sina tena mpaka nikajiulizaga hao watu wa mbeya,Zambia na Malawi wana nyongo za aina gani ila nnachowapendea bidhaa zao zipo katika package nzuri yani zote chupa za vioo kuna nyengine alikuja nayo inaitwa gentleman akaniambia jaribu haina shida nikamwambia ishia hapo hapo kilichonikuta kwenye verve kilinitosha
 
Back
Top Bottom