Hivi Yokozuna ni kinywaji?

Kwa hiyo jamii isiyokuwa na maadili wasanii wanatakiwa kuendelea kuinyima maadili zaidi kupitia nyimbo zao au wanatakiwa kupenyeza maadili kwenye jamii hiyo kupitia nyimbo zao?
Kwani unaposema msanii kioo Cha jamii maanake Nini? Kioo hakidanganyi, kinaonyesha reflection au image ya kitu Kama kilivyo.
 
Kwani unaposema msanii kioo Cha jamii maanake Nini? Kioo hakidanganyi, kinaonyesha reflection au image ya kitu Kama kilivyo.
Sasa kwa nini kuwe na double standard? Kwa nini vioo vingine vifungiwe na vioo vingine viachwe?
 
Kwenye ule wimbo wa baddest 47, unaoimbwa hivi, sijui nikagongee nyagi au nikagongee veve,, sijui nikagongee banana au nikagongee yokozuna, anaejua maana ya kihuni ya yokozuna ni nn atuambie humu..

Bcoz nilijaribu ku-google maana ya yokozuna, lkn maana nlioipata haiendani na wimbo..
Ni jamii ya nyundo, hutumika kugongea vitu mbalimbali.
 
Nilimuulizaga mtu maana ya veve, akaniambia veve maana yake ni mirungi Afande Fojuman
Ila pia kuna pombe inatwa Officer's Verve kifupi tunaita Verve sasa wenzangu na mimi tunaitaga Veve
IMG-20190513-WA0043.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom