Kwenye ule wimbo wa baddest 47, unaoimbwa hivi, sijui nikagongee nyagi au nikagongee veve,, sijui nikagongee banana au nikagongee yokozuna, anaejua maana ya kihuni ya yokozuna ni nn atuambie humu..
Bcoz nilijaribu ku-google maana ya yokozuna, lkn maana nlioipata haiendani na wimbo.
====
Bcoz nilijaribu ku-google maana ya yokozuna, lkn maana nlioipata haiendani na wimbo.
====
Yokozuna = ni pombe inayotengenezwa locally na kuwa packed kwenye vichupa used kama vile banana, inapatikana sana kusini mwa kenya, malawi na zambia, na kwa Tanzania utaikuta sana Rombo na mbeya(mpakani malawi)...
Verve = Ni aina ya pombe kali inayowekwa kwenye viroba au chupa kutoka Malawi, Hivyo jamaa anamaanisha pombe hiyo na sio milungi..
kumbuka baddest anatokea kyela, na hata original ya wimbo huo kaufanya kyela na kwa huku mbeya umetoka mwaka juzi(2018), nashangaa DSM umeanza kusikika late 2019..
Maana ya wimbo ni kwamba jamaa ameopoa demu sasa anataka akamie shoo, so anawaza aboost kwa pombe gani ili apige shoo kisawasawa...
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
mkuu
