Hivi yanayoonekana Star tv muda huu ni ya kweli?

Acha kudanganya umma mkuu!! Mimi naangalia star tv sasa hivi kuna kipindi cha girltalk!
 
Kweli we ni wa kuleta post ya hivi?? Kweli??
Haya mambo kwenye jamii yana impact kubwa sana kuliko unavyofikiri ni kama yale ya kikombe cha Babu enzi zile.Ni mambo yanayoonekana kuzoeleka lakini ndio haya hufanya watu wakaacha matibabu na baadae kupata matatizo.
 
N

Namaanisha thread yako haieleweki,umeuliza kitu ambacho sio kila mtu anakiona kwa wakati huu,ungetia nyama kidogo ili angalau hata mtu akiona topic hii kesho ajue ulikuwa una maana gani
 
Ni hii inayoitwa miujiza ya Nabii Malisa.

Mimi nashauri haya mambo yasiwe yanapewa airtime ila mwenye kuyahitaji ayatafute mwenyewe.TCRA waangalie upya vipindi vya aina hii.

Halafu TCRA wakiingilia kati utarudi hapa hapa kulalamika... mwendo wa kubadili goal posts.
 
N

Namaanisha thread yako haieleweki,umeuliza kitu ambacho sio kila mtu anakiona kwa wakati huu,ungetia nyama kidogo ili angalau hata mtu akiona topic hii kesho ajue ulikuwa una maana gani
Mkuu,mambo haya ni ya kushangaza na nikisema nifunguke hapa nitaibua hisia za udini na kugusa imani za watu ndio maana sijataka kufafanua sana ila lengo langu ni kuwashauri TCRA waweke udhibiti wa vipindi vya aina hii na hata kuna Channel nyingine huwa kuna kipindi kama hiki ambacho wakati mwingine hujadili majini na kuhusisha na magonjwa ya watu kitu ambacho binafsi sidhani kama ni kizuri.
 
sasa kama ulijua utaleta hisia za udini kwanini ulileta hapa hii thread yako??ulijua hutaulizwa nini kinaendelea??
ungekaa na kero yako moyoni tuu kama ulijua utaibua sera za udini humu
 
Back
Top Bottom