Hivi wenye Div2 ndio waliotemwa na TCU?

Hivi wenye Div2 ndio waliotemwa na TCU?

mkuu kuna ambaye ameshaambiwa chuo cha kwenda humu?
 
Wakati mwingine katika maisha inabidi kuchukua RISK kidogo. Sishangai wenye 2 wakajaza vyuo vikali na kushindana na div 1. Kifupi wenye 2 wapo katikati ya Div 1 na 3, hivyo mizani yao inaruhusu kurisk kidogo ukizingatia kuwa kuna round 2 ambayo wanastahili kujipima na Div 3 zaidi kuliko Div 1.

Hongereni, hamkufanya makosa kwani maisha ni kujiamini na ulichonacho mkononi. Endeleeni kupambana wala msikatishwe moyo.
 
Wenye div 2 wanaona wamefaulu sana wanakimbilia kuweka kozi zenye ushindan mkubwa wanaacha kuweka koz zisizokuwa na ushindan ata moja wewe unategemea utaacha kutemwa
 
Inanishangaza hii kila aliekosa nafasi kwa first round ni mwenye div2 sijasikia mwenye one au three ya mwanzo yaani DDE wanalalamika au wanaomba msaada wa second round

AU TCU WAMEWABANIA KWA MAKUSUDI ZAIDI WENYE DIV2?
Tatizo lenu mnaomba course za magwiji kama petroleum and gas,Telecommunication,compueter science etc sasa utapataje unadhani,kwanini usiombe Chemical and Processing etc
 
Inanishangaza hii kila aliekosa nafasi kwa first round ni mwenye div2 sijasikia mwenye one au three ya mwanzo yaani DDE wanalalamika au wanaomba msaada wa second round

AU TCU WAMEWABANIA KWA MAKUSUDI ZAIDI WENYE DIV2?
Kuna mshkaj wang tumeomba vyuo sawa yy ana three ya 13. Alaf mm nina two ya 10.
Kilichotokea sasa yy kaenda mm nmebak
Kama mazingaombwe vile
 
Lazma utemwe kwani 1.9 ndo nn watu Wana ya 3 alafu ulivyokuwa mbumbumbu unalazimisha koz zenye ushindani
Mkuu nina matusi sio kitoto, cuhas nimeomba mara mbili ila nimetemwa, kuna jamaa ana12 kachukiliwa. St john pharmacy pia ninetemwa. Acha matusi mzee kama unayo matusi mengi kamtukane mama ako
 
Mkuu nina matusi sio kitoto, cuhas nimeomba mara mbili ila nimetemwa, kuna jamaa ana12 kachukiliwa. St john pharmacy pia ninetemwa. Acha matusi mzee kama unayo matusi mengi kamtukane mama ako
Mkuu usiangaike nae huyu anatoa maneno ayo ,kwasabab hana vigezo vya kusema chuo mwaka huu au ata kufika hii elim ya juu. Maana aliyeelimika hawez kutoa majib kama haya
Lazma utemwe kwani 1.9 ndo nn watu Wana ya 3 alafu ulivyokuwa mbumbumbu unalazimisha koz zenye ushindani
 
Back
Top Bottom