Hivi wenye Div2 ndio waliotemwa na TCU?

Hivi wenye Div2 ndio waliotemwa na TCU?

Kama ulikuwa makini kwenye uchaguzi wa chuo kutokana na ufaulu wako basi wa aina hii second round haimuhusu mtu kachagua vyuo vitano vyote amekosa na ufaulu anao kwa kuhang'ang'ania kwenda UDSM na MUHAS
 
Mwakani ni zamu ya div 3 kutemwa first round! Wenye division 2 watasita kuingia kwenye baadhi ya kozi wakihofia kutemwa hivyo watajaza zenye ushindani Mdogo ambako pia watajazana wenye div 3! Matokeo take div 3 watatemwa wengi kwenye first round! Ila kwa mwenye div 2 au hata 3 atakayekomaa na kozi zenye ushindani atapata maana wengi watakuwa wamezikwepa! Hiyo ni mwakani! I may be wrong but I just try to foresee!!!
Umeona mbali sana.
 
Inanishangaza hii kila aliekosa nafasi kwa first round ni mwenye div2 sijasikia mwenye one au three ya mwanzo yaani DDE wanalalamika au wanaomba msaada wa second round

AU TCU WAMEWABANIA KWA MAKUSUDI ZAIDI WENYE DIV2?
Mbona jibu rahisi tu Mkuu, hao wenye div two walijikuta vipanga (wengi wao) wakajikuta wanaomba na kucompete na wenye div 1 kwenye kozi zenye ushindani mkubwa asa hapo kwanini usitemwe sasa, huku wenzangu na mimi walishajijua hawana ushindani wakaomba kozi ambazo nyie mliona hazifai na wakapata fasta tu den now hao wenye div 2 wanahangaika tu, always kumbuka kufuata sheria za mchezo mkuu, haya maisha ni rahisi ukijua unataka nini na kwa mda gani, wasalam.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Tatizo baadhi ya watu waliopata div2 Wana bwebwe nyingi wanaomba course za watu waliopata 1 Kuna jamaa 1 nilisoma naye advanced alipata div 2 PCM wakati anaomba chuo kaomba course za ENGINEER kibao siku ya siku kajikuta not eligible course zote. Ikabidi kubadilisha course kuchaguliwa BAF. USHAURI wangu ni kuweni makini course nzuri zitakuwa zimejaa au zimebaki chache
Mkuu nadhani alia dikiwa hivi

"""Eligible but not selected due to competition""""
 
Zililetwa Nyuzi Nyingi Hapa Za Kuwapa Ushauri Mukajiona Nyinyi Vipanga! Eti Mtu Ana Two Ya 10 anaomba MD MUHAS, KCMC & UDSM wapi na Wapi?? Ukimpa Ushauri Kama Two Ni Ya St. John & Joseph Analeta Kejeli!! Haya Mimi Mdogo Wangu Ana Two Ya 11 na Kama Kawa Anakamua MD mara Hii kwasababu Alijielewa nini Anafanya!
Sasa Nyinyi Muliojifanya Vipanga Mutavutana Mashati Second Round Kwenye Vyuo Hivihivi Alivyopata Mdogo Wangu Ambavyo Muliviita Vya Hovyo!
Oh No!! Nimegundua Kuwa "Uwalimu Unawahusu".
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mbona jibu rahisi tu Mkuu, hao wenye div two walijikuta vipanga (wengi wao) wakajikuta wanaomba na kucompete na wenye div 1 kwenye kozi zenye ushindani mkubwa asa hapo kwanini usitemwe sasa, huku wenzangu na mimi walishajijua hawana ushindani wakaomba kozi ambazo nyie mliona hazifai na wakapata fasta tu den now hao wenye div 2 wanahangaika tu, always kumbuka kufuata sheria za mchezo mkuu, haya maisha ni rahisi ukijua unataka nini na kwa mda gani, wasalam.
Sasa hao div two waliotemwa watajikuta vyuo vya private kama Stella Maris au Archbishop Mihayo wakati div 3 yupo zake St. Augustine. Hapo ndo utajua maisha hayapo fair kabisa. Hapo ndo utasema bora usome diploma vyuo vinavyoeleweka kama vile DIT n.k kuliko kuwa na degree ambayo inakuwa vigumu kutaja chuo ulipoipatia
 
Inanishangaza hii kila aliekosa nafasi kwa first round ni mwenye div2 sijasikia mwenye one au three ya mwanzo yaani DDE wanalalamika au wanaomba msaada wa second round

AU TCU WAMEWABANIA KWA MAKUSUDI ZAIDI WENYE DIV2?
sio wote mbona me nna div2 lakini nime be selected in 1st round
 
swala linakuja kua wengi wanaitaji kwenda vyuo vya serikali kutokana na unafuu wa ada na uwezekano wa kupata mkopo ni mkubwa kuliko vyuo vya private ndio maana udsm kwenye kozi ya B.a with education capacty ilikua watu 1000 lakini walioomba nafasi ni zaid ya watu elfu 15 sio kwamba division 2 ni vimbelembele ila muangalie na serikali ya sasa na zile tetesi ya baadhi ya vyuo kufungiwa iliwapa wengi woga wa kuchagua baadhi ya vyuo
kuna rafiki yangu anayo DDE na kachaguliwa Duce (aliona ile siku ya kwanza majina kuvuja) na wapo wengi weny div2 awajachaguliwa Duce
NB; MSITOE LAWAMA KWA WALIOKOSA FIRST SELECTION USHAURI KWAO UTAWAPA MWANGA WA WAPI PA KWENDA NA NINI CHA KUFANYA
 
Sasa hao div two waliotemwa watajikuta vyuo vya private kama Stella Maris au Archbishop Mihayo wakati div 3 yupo zake St. Augustine. Hapo ndo utajua maisha hayapo fair kabisa. Hapo ndo utasema bora usome diploma vyuo vinavyoeleweka kama vile DIT n.k kuliko kuwa na degree ambayo inakuwa vigumu kutaja chuo ulipoipatia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
swala linakuja kua wengi wanaitaji kwenda vyuo vya serikali kutokana na unafuu wa ada na uwezekano wa kupata mkopo ni mkubwa kuliko vyuo vya private ndio maana udsm kwenye kozi ya B.a with education capacty ilikua watu 1000 lakini walioomba nafasi ni zaid ya watu elfu 15 sio kwamba division 2 ni vimbelembele ila muangalie na serikali ya sasa na zile tetesi ya baadhi ya vyuo kufungiwa iliwapa wengi woga wa kuchagua baadhi ya vyuo
kuna rafiki yangu anayo DDE na kachaguliwa Duce (aliona ile siku ya kwanza majina kuvuja) na wapo wengi weny div2 awajachaguliwa Duce
NB; MSITOE LAWAMA KWA WALIOKOSA FIRST SELECTION USHAURI KWAO UTAWAPA MWANGA WA WAPI PA KWENDA NA NINI CHA KUFANYA
Kidogo Mkuu umeongea mambo ya maana na yakueleweka
 
Wakati mwingine katika maisha inabidi kuchukua RISK kidogo. Sishangai wenye 2 wakajaza vyuo vikali na kushindana na div 1. Kifupi wenye 2 wapo katikati ya Div 1 na 3, hivyo mizani yao inaruhusu kurisk kidogo ukizingatia kuwa kuna round 2 ambayo wanastahili kujipima na Div 3 zaidi kuliko Div 1.

Hongereni, hamkufanya makosa kwani maisha ni kujiamini na ulichonacho mkononi. Endeleeni kupambana wala msikatishwe moyo.
Daah nimeipenda
 
Kuna mshkaj wang tumeomba vyuo sawa yy ana three ya 13. Alaf mm nina two ya 10.
Kilichotokea sasa yy kaenda mm nmebak
Kama mazingaombwe vile
Inategemea aliye wahi ku apply chuo husika ...kuna ukweli hapo ..coz system inachagua kwa vigezo vya principle na sio division
 
Nahic waliangalia walio wahi kuomba kabla ya nafasi zile kujaa maana wengi waliopata wanasema walijaza mapema tuu na walio kosa wengi walichelewa

#Ni mtazamo tuu !!
 
Back
Top Bottom