Hivi wenye Div2 ndio waliotemwa na TCU?

Hivi wenye Div2 ndio waliotemwa na TCU?

Mkuu usiangaike nae huyu anatoa maneno ayo ,kwasabab hana vigezo vya kusema chuo mwaka huu au ata kufika hii elim ya juu. Maana aliyeelimika hawez kutoa majib kama haya
Mwambie wenye nguvu za sippy soda hawagusi. Na najua mazuri yakuja soon.
 
Wakati mwingine katika maisha inabidi kuchukua RISK kidogo. Sishangai wenye 2 wakajaza vyuo vikali na kushindana na div 1. Kifupi wenye 2 wapo katikati ya Div 1 na 3, hivyo mizani yao inaruhusu kurisk kidogo ukizingatia kuwa kuna round 2 ambayo wanastahili kujipima na Div 3 zaidi kuliko Div 1.

Hongereni, hamkufanya makosa kwani maisha ni kujiamini na ulichonacho mkononi. Endeleeni kupambana wala msikatishwe moyo.
Me nina 2.10 na nmechaguliwa BAF
 
Div2 weng mmetemwa kwasabab mmejion mnaufaulu wa juu mkizan wenye dv1 wako wachache nanyie mkaomba kozi zenye ushindan San na mkazarau kozi zisizo na majina.. Weny dv3 weng wamepat kwasabab wameomb kozi Za kawaid kutokan na kukubalian na matokeo Yao tu
 
Tatizo baadhi ya watu waliopata div2 Wana bwebwe nyingi wanaomba course za watu waliopata 1 Kuna jamaa 1 nilisoma naye advanced alipata div 2 PCM wakati anaomba chuo kaomba course za ENGINEER kibao siku ya siku kajikuta not eligible course zote. Ikabidi kubadilisha course kuchaguliwa BAF. USHAURI wangu ni kuweni makini course nzuri zitakuwa zimejaa au zimebaki chache
 
Yataka moyo madogo. Ila ushauri wangu mnapochagua vyuo angalieni na ushindani. Usije ukajikuta uliapply programme inayohitaji wanafunzi mia halafu ktk walioapply basi mia hamsini wana one. Unahisi utapata? Ila vumilieni hili ni suala dogo sana... bado mzigo wenyewe wa HESLB. Mtapoteana humu...
 
Zililetwa Nyuzi Nyingi Hapa Za Kuwapa Ushauri Mukajiona Nyinyi Vipanga! Eti Mtu Ana Two Ya 10 anaomba MD MUHAS, KCMC & UDSM wapi na Wapi?? Ukimpa Ushauri Kama Two Ni Ya St. John & Joseph Analeta Kejeli!! Haya Mimi Mdogo Wangu Ana Two Ya 11 na Kama Kawa Anakamua MD mara Hii kwasababu Alijielewa nini Anafanya!
Sasa Nyinyi Muliojifanya Vipanga Mutavutana Mashati Second Round Kwenye Vyuo Hivihivi Alivyopata Mdogo Wangu Ambavyo Muliviita Vya Hovyo!
Oh No!! Nimegundua Kuwa "Uwalimu Unawahusu".
 
Lazma utemwe kwani 1.9 ndo nn watu Wana ya 3 alafu ulivyokuwa mbumbumbu unalazimisha koz zenye ushindani
ukisema ivo inamaana unataka asome ili tu aonekane amesoma ila ayuko comted na kaz yake ndo yanakuja tokea aya ya walim kutia mimba wanafunzi na isitoshe 2undako walimu awa wanaolazmishwa kusomea ualim weng watatengeneza zero za kutosha ngoja awa wa diploma wastaf af utachek matokeo ya 4m 4
 
sasa unakuta mtu ana div 2 ya 10 labda, halafu option alivyojaza;
MD - MUHAS
MD - CUHAS
MD - KCMC
PHARMACY - MUHAS
MD - KAIRUKI.
huyu mtu anajitakia nini kama sio kutemwa tu, watu na div 1 zao hawajaisahau UDOM wewe na 2 wala waushtuki.
..wale mnao apply tena hebu mjipe uwanja mpana wa kusoma, vyuo ni vingi , kozi ni nyingi..
ukiona kozi flani cutting point zake labda ni 7 na wewe una 7 hiyohiyo jiulize mara mbili kabla haujachagua hiyo kozi.
someni kwa makini ile Guide book msije mkajutia baadaye.
 
Wenye div 2 wanaona wamefaulu sana wanakimbilia kuweka kozi zenye ushindan mkubwa wanaacha kuweka koz zisizokuwa na ushindan ata moja wewe unategemea utaacha kutemwa
yan me nais we ka ulienda chuo ulienda il 2 uckae nyumban ata uk graduate kaz yako ita kuwa unafanya bas 2 kutmiza wajb
 
Back
Top Bottom