Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
Nimeelewa vizuri ila nashindwa kum-judgeKwa nn?
Hujaelewa ama umeelewa sana?
Nimeelewa vizuri ila nashindwa kum-judgeKwa nn?
Hujaelewa ama umeelewa sana?
Nimeelewa vizuri ila nashindwa kum-judge
Nahisi sifundishiki 😀Njoo nikufundishe
Nahisi sifundishiki [emoji3]
MUNGU HUONGEA KWA MATUKIO SIYO KWA MAIGIZO BADO NASEMA NDOA NA MSIBA HAVITAKUJA KUWA PAMOJA KAMWE."Hiyo ndoa haiwezi kudumu"
Umekuwa Mungu ww?
Kudumu kwa ndoa hakutokani na aina ya harusi mnayofanyika.
Harusi ni sherehe ya siku moja. Ndoa ni mshikamano wa muda mrefu.
So wether watadumu au lah ,thats up to them na Mungu wao. Lakin harus na msiba havitohusika na ndoa huko mbeleni
Unamsemea Mungu? Kimekukera wewe na kukukwaza, ila wewe sio wa kuweka standard ya kipi sahihi kwa Mungu.MUNGU HUONGEA KWA MATUKIO SIYO KWA MAIGIZO BADO NASEMA NDOA NA MSIBA HAVITAKUJA KUWA PAMOJA KAMWE.
Mkuu Mungu ametupatia akili ya kupambanua mema na mabaya na ndiyo maana hata wewe hujanitukana kwa sababu unajua kutukana ni vibaya isingekuwa hivyo hata nguo tusingekuwa tunavaa kama wanyama, lakini kwa nini tunajisitri ni kwa sababu ya akili tuliyopewa na Mungu ya kuamua kipi sahihi na kipi kibaya ndiyo ubinadamu. Kwa kukuongezea japo utakataa ulishaona wapi kwenye maandiko yoyote ya vitabu vya imani yeyote duniani Msiba na ndoa vikachanganywa pamoja? Angalia hata kwenye Guinness Book of Records kama utaona upuuzi kama huo. Au hata nyimbo za maombolezo ulishaona wapi zikaimbwa arusini? Kitu kama ni kibaya ni kibaya tu tusitafute visababu vya kuhalalisha ujinga .Unamsemea Mungu? Kimekukera wewe na kukukwaza, ila wewe sio wa kuweka standard ya kipi sahihi kwa Mungu.
Ndio hapo sasaWasipofunga hiyo ndoa mama yake ataamka au!?
Huyo alifikiria rational kabisa maisha lazima yaendelee.
Kitu kibaya kwa mtazamo wako na Imani yako. Mtu hawezi kuishi kwa akili yako. Hayo ni maamuzi Yao na wametoa sababu. Kwa ninavyoelewa hio ni ndio ya kikristu wangeweza hata kutoadhimidha ibada ya mazishi na kufanyika siku nyingine. Tupo duniani kuishi sio kuhukumu.Mkuu Mungu ametupatia akili ya kupambanua mema na mabaya na ndiyo maana hata wewe hujanitukana kwa sababu unajua kutukana ni vibaya isingekuwa hivyo hata nguo tusingekuwa tunavaa kama wanyama, lakini kwa nini tunajisitri ni kwa sababu ya akili tuliyopewa na Mungu ya kuamua kipi sahihi na kipi kibaya ndiyo ubinadamu. Kwa kukuongezea japo utakataa ulishaona wapi kwenye maandiko yoyote ya vitabu vya imani yeyote duniani Msiba na ndoa vikachanganywa pamoja? Angalia hata kwenye Guinness Book of Records kama utaona upuuzi kama huo. Au hata nyimbo za maombolezo ulishaona wapi zikaimbwa arusini? Kitu kama ni kibaya ni kibaya tu tusitafute visababu vya kuhalalisha ujinga .
Na wakiahirisha kufunga hiyo ndoa huyo mke ataibiwa au?Ndio hapo sasa
Kwa reference gani?Kitu kibaya kwa mtazamo wako na Imani yako. Mtu hawezi kuishi kwa akili yako. Hayo ni maamuzi Yao na wametoa sababu. Kwa ninavyoelewa hio ni ndio ya kikristu wangeweza hata kutoadhimidha ibada ya mazishi na kufanyika siku nyingine. Tupo duniani kuishi sio kuhukumu.
Jina lako lina linafanana na tukioMbona fresh tu
Kumbe wakiendelea au wakiahirisha hakuna kinachoharibika kwa nini tuwalaumu kwa maamuzi yao?Na wakiahirisha kufunga hiyo ndoa huyo mke ataibiwa au?
Mkuu ndoa hupangiwa tarehe kifo hakipangiwi tarehe kwani angekufa mmoja wao ndoa ingeendelea tu kwakuwa ratiba yao ilikuwa hivyo? Khantwe mbona mnahalalisha mambo yasiyowezekana hata kwa shetani??? Au ulishaona wapi nyimbo za maombolezo zikaimbwa msibani na za msiba zikaimbwa harusini? Hata waliowafungisha ndoa nina mashaka na hilo kanisa na viongozi wake kwa ujumla.Kumbe wakiendelea au wakiahirisha hakuna kinachoharibika kwa nini tuwalaumu kwa maamuzi yao?
Mungu ni roho. Huanza rohoni then hujidhihirisha mwilini.MUNGU HUONGEA KWA MATUKIO SIYO KWA MAIGIZO BADO NASEMA NDOA NA MSIBA HAVITAKUJA KUWA PAMOJA KAMWE.