Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,240
- 54,619
"Hiyo ndoa haiwezi kudumu"Hiyo ndoa haiwezi dumu kwa sababu Mungu alitaka waahirishe kwanza ili wamzike mama yao lakini wao wakaona kwamba hata kama mtu mzito sana kama mama akifa bado ratiba yao haiwezi kuahirishwa sijajua kama bi harusi angekufa bwana harusi angeendelea kufunga ndoa na nani? Ndoa ni jambo la kupanga kifo hakipangiwi tarehe sioni kwa namna yeyote kupeleka ndoa na msiba kwa pamoja haviendi labda kama walipanga mama mkwe afe ahapo watakuwa na ujasiri wa kuendelea na shughuli ya ndoa.
Umekuwa Mungu ww?
Kudumu kwa ndoa hakutokani na aina ya harusi mnayofanyika.
Harusi ni sherehe ya siku moja. Ndoa ni mshikamano wa muda mrefu.
So wether watadumu au lah ,thats up to them na Mungu wao. Lakin harus na msiba havitohusika na ndoa huko mbeleni