Pole sana huijui nafasi yako kwenye jamii laiti ungeijua usishabikia ujinga huu.Haya Mambo yakuangalia vitu kwa namna tunavyoona n sahihi kutokana na Iman na akili zetu. Kwao wameona ni sahihi n ahakuna jambo baya lolote lililotokea kwann nyie muanze kusema ni ushetani.
Akili mgando cam on think out of the box.
Zote zinahesabika ni harusi.Wanabodi,
Hata Kama ni uzungu jamani, wabongo unapata wapi nguvu za kufanya hivi?
[emoji41][emoji116][emoji116] Cheki picha hapo chini ina maelezo.
View attachment 1492474
Mkuu kwenye kamusi gani uliyosoma Msiba tafsiri yake Harusi? Au ndiyo kizazi cha .com ambacho hakiwezi kutofautisha na kuelewa Harusi ni nini na msiba ni kitu gani. MSIBA NA HARUSI KAMWE HAVIWEZI KUWA PAMOJA NA NDIYO MAANA UKIWA KWENYE MSIBA UTAIMBA NYIMBO ZA MAOMBOLEZO NA UKIWA HARUSINI HUWEZI IMBA NYIMBO ZA MSIMBA HIVYO HAYO MAMBO MAWILI HAYACHANGANYWI PAMOJA TOKA ENZI ZA KALE IWE KWA WAPAGANI, WAISLAM AU WAKRISTOZote zinahesabika ni harusi.
Ni swala la kuufunga moyo tuu
Tena kinasema msiba ni harusi ya mwisho sasa ndio kama hivyoMkuu kwenye kamusi gani uliyosoma Msiba tafsiri yake Harusi? Au ndiyo kizazi cha .com ambacho hakiwezi kutofautisha na kuelewa Harusi ni nini na msiba ni kitu gani. MSIBA NA HARUSI KAMWE HAVIWEZI KUWA PAMOJA NA NDIYO MAANA UKIWA KWENYE MSIBA UTAIMBA NYIMBO ZA MAOMBOLEZO NA UKIWA HARUSINI HUWEZI IMBA NYIMBO ZA MSIMBA HIVYO HAYO MAMBO MAWILI HAYACHANGANYWI PAMOJA TOKA ENZI ZA KALE IWE KWA WAPAGANI, WAISLAM AU WAKRISTO
Pole na kwako pia nnajielewa kuliko unavyofikiria Jamii hainilishi.Pole sana huijui nafasi yako kwenye jamii laiti ungeijua usishabikia ujinga huu.
Unafunga ndoa, mwili wa mama yako uko nyuma ya jeneza, unasema dedication?
Hili lilifanyika baada ya majadiliano kati ya familia na uongozi wa kanisa,na si mara ya kwanza kufanyika kitu kama hicho.na bwana harusi alitaka mama yake aishuhudie ndoa yake hata kama ni mfu.Kwa bahati mbaya sana vijana wa leo kila kitu mnarahisisha tu hivi toka lini msiba na ndoa vikawa pamoja? Huwezi jiuliza kwa nini mama afe siku ya ndoa? Maana yake Mungu alitaka uahirishe hiyo ndoa umzike mama yako lakini kwa ulimbukeni mtu anapeleka yote pamoja na hata aliywangisha ndoa naye ni taahira kwani kuna ulazima gani wa kufunga ndoa ilhali mama yako yuko kwenye box? Ndoa inaweza kuahirishwa kwakuwa ni ya kupanga lakini kifo hakipangiwi tarehe jiulize pia kama bi harusi angekufa bwana harusi angefunga ndoa na nani kama ilikuwa lazima siku hiyo ndoa ifungwe ?
Iliyofungwa ni ndoa tu ili marehemu mama yake nae awe sehemu ya kushuhudia,ila mambo ya sherehe yaliahirishwa.na walipotoka hapo safari ilianza kuelekea tarime Kwa mazishi,na walizika salama juzi jumatatu.MKUU HUYO BHANGI ZINAMSUMBUA KAMA NI MKE WAKO MUNGU KAKUPA UKIAHIRISHA KUFUNGA NDOA NA HIVYO VYAKULA VIKATUMIKA MSIBANI NA UKAMZIKA MAMA YAKO KWA HESHIMA ZOTE UTAPUNGUKIWA NINI HATA HIVYO MSIBA NA NDOA HAVICHANGANYWI KAMWE.
Sherehe haikufanyika,baada ya ndoa walisafiri Kwa mazishi.ni ndoa tu ndiyo ilifungwa.Huyu jamaa ni bonge la bahili.........maana alishapiga hesabu akaona maandalizi na vitu vyote alivyoandaa angekula hasara kubwa sana..........akaona bora iwe ivyo ivyo tu......maana msibani watu wanakula bure na kulewa pia........na harusini ni hivyo hivyo...... ndio maana gharama ingekuwa kubwa zaidi harusi ibume na watu washachanga na wabongo balaa hawana dogo ........nadhani ndicho alichokifanya
Kwa mm la msiba na harusi ni mambo mawili yasyo na ukaribu kabisa MTU anakuwaga amefiwa na ndugu hata mchango wa sherehe za wenzake hatoi Kwa maumivu na wala watu hawakudai mchango wa sherehe Leo mama yako kafa we unafanya shereheBw harusi alisema hivi;
Najua kuna watu watanishangaa na wengine kuniona ni mpumbafu ninaepaswa kulaaniwa kwa tukio hili, lakini nataka kuwafafanulia kwamba nimefunga ndoa huku mwili wa marehemu mama yangu nao ukiwa humo humo kanisani ili mama yangu ashuhudie ndoa yangu ki roho, alinisisitiza kwa muda mrefu sana nifunge ndoa, pia nilipanga kwa siri siku hiyo ya ndoa yangu nimfanyie birthday yake bahati mbaya zaidi inakuwa death day..... Kwa nitakaokuwa nimewakwaza wanisamehe lakini mimi nimefanya lile nililoona sahihi.
Asanteni wote mliohudhuria.
Hayo ndio maneno ya bw harusi msimuhukumu bila kujua, Mc aliyeongoza sherehe ya Send off ni rafiki yangu na alinieleza yote yaliyojiri siku hiyo ukumbini
Sherehe haikufanyika, alifunga ndoa tu na aliafanya kile alichoona yeye kinafaa kufanyika kwa wakati huoKwa mm la msiba na harusi ni mambo mawili yasyo na ukaribu kabisa MTU anakuwaga amefiwa na ndugu hata mchango wa sherehe za wenzake hatoi Kwa maumivu na wala watu hawakudai mchango wa sherehe Leo mama yako kafa we unafanya sherehe
Wewe ni nani unayetoa hukumu kwa mwenzio?Hiyo ndoa haiwezi dumu kwa sababu Mungu alitaka waahirishe kwanza ili wamzike mama yao lakini wao wakaona kwamba hata kama mtu mzito sana kama mama akifa bado ratiba yao haiwezi kuahirishwa sijajua kama bi harusi angekufa bwana harusi angeendelea kufunga ndoa na nani? Ndoa ni jambo la kupanga kifo hakipangiwi tarehe sioni kwa namna yeyote kupeleka ndoa na msiba kwa pamoja haviendi labda kama walipanga mama mkwe afe ahapo watakuwa na ujasiri wa kuendelea na shughuli ya ndoa.
Bw harusi alisema hivi;
Najua kuna watu watanishangaa na wengine kuniona ni mpumbafu ninaepaswa kulaaniwa kwa tukio hili, lakini nataka kuwafafanulia kwamba nimefunga ndoa huku mwili wa marehemu mama yangu nao ukiwa humo humo kanisani ili mama yangu ashuhudie ndoa yangu ki roho, alinisisitiza kwa muda mrefu sana nifunge ndoa, pia nilipanga kwa siri siku hiyo ya ndoa yangu nimfanyie birthday yake bahati mbaya zaidi inakuwa death day..... Kwa nitakaokuwa nimewakwaza wanisamehe lakini mimi nimefanya lile nililoona sahihi.
Asanteni wote mliohudhuria.
Hayo ndio maneno ya bw harusi msimuhukumu bila kujua, Mc aliyeongoza sherehe ya Send off ni rafiki yangu na alinieleza yote yaliyojiri siku hiyo ukumbini