Hivi wengine wanapata wapi ujasiri wa namna hii?

Ndoa ni ibada
Kifo(kuzika) ni ibada

Miongoni mwa mambo mwenyezi Mungu anatutaka tufanye kwa haraka mtu akitaka kuoa/kuozeshwa basi jambo lifanyike kwa haraka na mtu anapokufa basi azikwe kwa haraka.

Wapo sahihi hakuna tatizo hapo
 
Nakubaliana na wewe 100% kuwa mimi siyo mtakatifu kabisa na sijasema mimi ni mtakatifu hasha mkuu, ila hata kama jambo hilo wameridhia wenyewe liko kinyume na maadili ya jamii ni sawa na mtu kulala na mzazi wake au ndugu yake siyo halali hata kama wamekubaliana, ni kitu kipya hata kama unawafahamu toka lini ndoa na msiba vikawa pamoja ndugu yangu? Au wewe mpaka unafikia umri ulio nao umeshuhudia mara ngapi mambo kama hayo yakifanyika iwe ndani ya nchi au nje ya nchi au hata kwenye biblia au msahafu? Using'ang'anie kuhalalisha jambo ambalo halipo sawa kwa madai tu wenyewe wameamua mambo mengi tunayofanya huenda sambamba na jamii tuliyomo nje ya hapo ndiyo utakuta mjadala mrefu kama huu. Pia kumbuka unapokuwa kwenye msiba kuna mambo yake na pia ukiwa kwenye ndoa pia kuna mambo yake ikiwemo nyimbo za ndoa ambazo haziwezi imbwa msibani na nyimbo za msibani kamwe haziimbwi kwenye ndoa.
 
Wewe ni nani unayetoa hukumu kwa mwenzio?
Unadhani hawakuwepo washauri ?msipende kuwa Miungu mtu kutoa hukumu na laana kwa wenzenu wakati hata wewe una madhambi yako kibao
Wao wanajua ni nini walichoahidiana na mama yake ndo maana ikawa hivyo
Wahusika nawafaham,na walikuwa na sababu zao kufanya vile
Nakubaliana na wewe 100% kuwa mimi siyo mtakatifu kabisa na sijasema mimi ni mtakatifu hasha mkuu, ila hata kama jambo hilo wameridhia wenyewe liko kinyume na maadili ya jamii ni sawa na mtu kulala na mzazi wake au ndugu yake siyo halali hata kama wamekubaliana, ni kitu kipya hata kama unawafahamu toka lini ndoa na msiba vikawa pamoja ndugu yangu? Au wewe mpaka unafikia umri ulio nao umeshuhudia mara ngapi mambo kama hayo yakifanyika iwe ndani ya nchi au nje ya nchi au hata kwenye biblia au msahafu? Using'ang'anie kuhalalisha jambo ambalo halipo sawa kwa madai tu wenyewe wameamua mambo mengi tunayofanya huenda sambamba na jamii tuliyomo nje ya hapo ndiyo utakuta mjadala mrefu kama huu. Pia kumbuka unapokuwa kwenye msiba kuna mambo yake na pia ukiwa kwenye ndoa pia kuna mambo yake ikiwemo nyimbo za ndoa ambazo haziwezi imbwa msibani na nyimbo za msibani kamwe haziimbwi kwenye ndoa.
 
Sherehe haikufanyika, alifunga ndoa tu na aliafanya kile alichoona yeye kinafaa kufanyika kwa wakati huo
Ndoa ni sherehe unatakiwa kuwa na tabasamu muda wote, msiba ni huzuri hata ukiwa na sura ya mbuzi hamna mtu atakuwazia tofauti
 
Walimpenda sana mama yao, wakaona ahudhurie harusi yao!
 
Back
Top Bottom