mysara2011
Member
- Sep 28, 2017
- 69
- 84
- Thread starter
- #41
Yes yalishapita hayoKwani huyo mchumba wako, alisha achana na yule sister?
Yes yalishapita hayoKwani huyo mchumba wako, alisha achana na yule sister?
Hahaaaa. Umeongea kweli tupu rafiki.Kitu kingine jifunze wala usirudie tena kumtafuta mwanamke ambaye unajua ni mchepuko wa mwanaume wako,,michepuko hainaga akili sawasawa dear atakwambia Maneno hadi ya uongo maana hakuna mchepuko unaopenda kuwa mchepuko so atakuumiza moyo makusudi ili umuache mwanaume amchukue yeye,,deal na mumeo mama
Naijua vyema michepuko shoga hainaga akili kabisaHahaaaa. Umeongea kweli tupu rafiki.
Sijui inakulaga maharage ya wapi.Naijua vyema michepuko shoga hainaga akili kabisa
Ni kweli na kwa akili zao fupi wanahisi akishakuvuruga mke basi inakua rahisi kuachana na mumeo wangejua looh,,mwanaume haachwi sababu amechepukaSijui inakulaga maharage ya wapi.
Ila huwa naamini akili zao ni zile za kwamba ha sina changu hivyo anaona ambacho itakuwa silaha kwake ni maneno machafu.
Hahahaaaa. Nimecheka sana aiseeee.Ni kweli na kwa akili zao fupi wanahisi akishakuvuruga mke basi inakua rahisi kuachana na mumeo wangejua looh,,mwanaume haachwi sababu amechepuka
Hawajielewagi tuwaombee wapate wakwao ili nao wajue tam na chunguHahahaaaa. Nimecheka sana aiseeee.
Akili za wizi zileeeee. Na ni kumi kwa mmoja wanaoacha wake zao kisa hiyo michepuko.
Hahaaaaa. Kwa kweli aiseee.Hawajielewagi tuwaombee wapate wakwao ili nao wajue tam na chungu
Na wana feel proud kudate Mme wa mtu bila heshima pumbavu,,si ndo hao wanaosemaga "ohh mmeo akichepuka jichunguze nini humtimizii ndio maana kaja kwangu"nawasikitikia kwa maana hawajui tabia za wanaume when comes to michepukoHahaaaaa. Kwa kweli aiseee.
Ila kazi ipo rafiki sababu kuna wale ambao yaani sifa zao kuu ni kutamani vya watu yaani hawatakagi vya peke yao.
Hahaaaa. Tuwasikitikie tu kwa kweli na ndio kilichobakia.Na wana feel proud kudate Mme wa mtu bila heshima pumbavu,,si ndo hao wanaosemaga "ohh mmeo akichepuka jichunguze nini humtimizii ndio maana kaja kwangu"nawasikitikia kwa maana hawajui tabia za wanaume when comes to michepuko
Kama ndie yeye, basi nakushauri uendelee nae tu kwasababu huyo ndie chaguo na mumeo wa maishaYes yalishapita hayo