Hivi wengine mliwezaje kusamehe usaliti?

mysara2011

Member
Sep 28, 2017
69
84
Niko na mpenzi for almost five years now na tulipanga mwishoni mwa huu mwaka tufunge ndoa.Shida imetokea baada ya kugundua anachepuka na nilipofatilia nikagundua mmoja kati ya michepuko yake aliupa mimba. Niligoma kusamehe hili la kuletewa mtoto alonikuta ukizingatia tayari ana mtoto ambaye nilimkuta but huyu nilishakubali nitamlea . Shida ni hili la sasa nashindwa kusamehe moyo unauma mno ingawa hiyo mimba ishatolewa ila nikifikiria swala la huyo dada kuwahi kulala kwa mchumba wangu ndo nakufa ganzi kabisa. Nisaidieni jamani nifanyeje kupunguza maumivu natamani kumuacha mtu wangu ila nashindwa maana nampenda mno.‎
 
Pole sana!
Ila huo mstari wa mwisho ndo unabeba dhana ya mapenzi! Upendo hauhesabu mabaya, upendo huvumilia na upendo hauna chuki wala kinyongo!

Kusamehe kupo ingawa kiukweli ni ngumu sana kusahau! Ni mtu wako unampenda msamehe muanze upya, ndugu yangu wanaume ni hawa hawa hakuna alobora kuliko wako!!
 
Ukisema umuache kisa kuchepuka basi utaacha karibu wanaume wote maana wanaume wengi (sio wote) kuwa na ka mchepuko ni kitu cha kawaida...

Kama unampenda na yeye anakupenda funika kombe mwanaharamu apite..

Lakini mimi mwanamke akinisaliti hata kama nampenda kiasi gani biashara inaishia hapo hapo...
 
Pole sana!
Ila huo mstari wa mwisho ndo unabeba dhana ya mapenzi! Upendo hauhesabu mabaya, upendo huvumilia na upendo hauna chuki wala kinyongo!

Kusamehe kupo ingawa kiukweli ni ngumu sana kusahau! Ni mtu wako unampenda msamehe muanze upya, ndugu yangu wanaume ni hawa hawa hakuna alobora kuliko wako!!
Upako uliojawa sio wa nchi hii, big up
 
Pole sana!
Ila huo mstari wa mwisho ndo unabeba dhana ya mapenzi! Upendo hauhesabu mabaya, upendo huvumilia na upendo hauna chuki wala kinyongo!

Kusamehe kupo ingawa kiukweli ni ngumu sana kusahau! Ni mtu wako unampenda msamehe muanze upya, ndugu yangu wanaume ni hawa hawa hakuna alobora kuliko wako!!
Ahsante kwa ushauri ndugu yangu
 
Ndivyo ilivyo hata ukiingia ktk maisha ya ndoa. Kuna kosa moja kubwa sana ambalo watu wengi hulifanya hasa ujanani wakati wa kutaka kuingia viapo vya ndoa na kosa lenyewe ni kutokumhusisha Mungu ktk process nzima ya tukio la kuoana.

Ndoa nyingi zinazohusishwa na Mungu tangu wakati marafiki, uchumba na kuoana zina nafasi kubwa sana ya kudumu ukilinganisha na zile za kukutana tu kwenye starehe huko mkaamua kuchukuana na kufanya igizo kuuuubwa la kuaminisha watu kwamba mnaoana

Ni vema sana kujifunza kusanehe kwani kisirani, hasira, ugomvi na visasi kamwe havijengi

Kama umehusika kwa namna yyt ile ktk utoaji mimba wa huyo anayechepuka na boyfriend wako bas una kazi ya kufanya hapo ili kuhakikisha damu ya kiumbe kilichotolewa inakuacha salama

Kuondokana na hiyo hali inayokupata kuna njia nyingi ingawa nzuri zaidi ni kwa ww kujiweka jirani na mambo ya imani kwa aidha kusoma sana maandiko ya Mungu mara kwa mara automatically pumzi iliyokujaa kifuani itatoka
 
Niko na mpenzi for almost five years now na tulipanga mwishoni mwa huu mwaka tufunge ndoa.Shida imetokea baada ya kugundua anachepuka na nilipofatilia nikagundua mmoja kati ya michepuko yake aliupa mimba. Niligoma kusamehe hili la kuletewa mtoto alonikuta ukizingatia tayari ana mtoto ambaye nilimkuta but huyu nilishakubali nitamlea . Shida ni hili la sasa nashindwa kusamehe moyo unauma mno ingawa hiyo mimba ishatolewa ila nikifikiria swala la huyo dada kuwahi kulala kwa mchumba wangu ndo nakufa ganzi kabisa. Nisaidieni jamani nifanyeje kupunguza maumivu natamani kumuacha mtu wangu ila nashindwa maana nampenda mno.‎
Si unaolewa wewe? Chagua unalo ona ni jema kwako

Kwani wewe alikukuta bikra au km zimeshasomeka za kutosha?
NB: wanaume tupo wachache sana, ratio ni 1:5
 
Ndivyo ilivyo hata ukiingia ktk maisha ya ndoa. Kuna kosa moja kubwa sana ambalo watu wengi hulifanya hasa ujanani wakati wa kutaka kuingia viapo vya ndoa na kosa lenyewe ni kutokumhusisha Mungu ktk process nzima ya tukio la kuoana.

Ndoa nyingi zinazohusishwa na Mungu tangu wakati marafiki, uchumba na kuoana zina nafasi kubwa sana ya kudumu ukilinganisha na zile za kukutana tu kwenye starehe huko mkaamua kuchukuana na kufanya igizo kuuuubwa la kuaminisha watu kwamba mnaoana

Ni vema sana kujifunza kusanehe kwani kisirani, hasira, ugomvi na visasi kamwe havijengi

Kama umehusika kwa namna yyt ile ktk utoaji mimba wa huyo anayechepuka na boyfriend wako bas una kazi ya kufanya hapo ili kuhakikisha damu ya kiumbe kilichotolewa inakuacha salama

Kuondokana na hiyo hali inayokupata kuna njia nyingi ingawa nzuri zaidi ni kwa ww kujiweka jirani na mambo ya imani kwa aidha kusoma sana maandiko ya Mungu mara kwa mara automatically pumzi iliyokujaa kifuani itatoka
Nihusike kivipi cause huyo dada alotoa mimba mi mwanzo sikujua kama ni mpenzi wa mtu wangu maana mtu wangu alinambia ni mtu ambaye wako naye kikazi na nilimpigia simu huyu dada kumuuliza baadhi ya mambo kuhusu mtu wangu na ndipo naye akinieleza na yeye ni mpenzi wake na isitoshe ana mimba yake baada ya hapo nilimbana mtu wangu alikataa katakata kuwa huyo dada hana mimba .Na nilipoamua kumtafuta huyu dada tena ili nipate uthibitisho alinijibu kuwa ameamua kutoa mimba maana hawezi zaa na mtu ambaye anaona future haipo na aliniambia kuwa mpenzi wangu atateseka sana maishani mwake skwa kuwa alimlaghai na kumdanganya kuwa sisi tulishaachana hasa hapo mi nahusikaje na hiyo mimba kutolewa?
 
Niko na mpenzi for almost five years now na tulipanga mwishoni mwa huu mwaka tufunge ndoa.Shida imetokea baada ya kugundua anachepuka na nilipofatilia nikagundua mmoja kati ya michepuko yake aliupa mimba. Niligoma kusamehe hili la kuletewa mtoto alonikuta ukizingatia tayari ana mtoto ambaye nilimkuta but huyu nilishakubali nitamlea . Shida ni hili la sasa nashindwa kusamehe moyo unauma mno ingawa hiyo mimba ishatolewa ila nikifikiria swala la huyo dada kuwahi kulala kwa mchumba wangu ndo nakufa ganzi kabisa. Nisaidieni jamani nifanyeje kupunguza maumivu natamani kumuacha mtu wangu ila nashindwa maana nampenda mno.‎
Jifunze kuasamehe na kusahau,,kikukwa akuheshim akupende na akuthamini hiyo kuchepuka sio issue kwa wanaume tena wakishaoa wengi wao ndo huwa wanazidisha idadi ya mchepuko hutompata ambae yuko perfect dear
 
Nihusike kivipi cause huyo dada alotoa mimba mi mwanzo sikujua kama ni mpenzi wa mtu wangu maana mtu wangu alinambia ni mtu ambaye wako naye kikazi na nilimpigia simu huyu dada kumuuliza baadhi ya mambo kuhusu mtu wangu na ndipo naye akinieleza na yeye ni mpenzi wake na isitoshe ana mimba yake baada ya hapo nilimbana mtu wangu alikataa katakata kuwa huyo dada hana mimba .Na nilipoamua kumtafuta huyu dada tena ili nipate uthibitisho alinijibu kuwa ameamua kutoa mimba maana hawezi zaa na mtu ambaye anaona future haipo na aliniambia kuwa mpenzi wangu atateseka sana maishani mwake skwa kuwa alimlaghai na kumdanganya kuwa sisi tulishaachana hasa hapo mi nahusikaje na hiyo mimba kutolewa?
Kitu kingine jifunze wala usirudie tena kumtafuta mwanamke ambaye unajua ni mchepuko wa mwanaume wako,,michepuko hainaga akili sawasawa dear atakwambia Maneno hadi ya uongo maana hakuna mchepuko unaopenda kuwa mchepuko so atakuumiza moyo makusudi ili umuache mwanaume amchukue yeye,,deal na mumeo mama
 
Thanks though nami nimeapa kutorudia hii mistake ya kuwatafuta maana kwa niliyosikia toka kwao ndo yamenitesa na bado yanaendelea kunitesa.Ingawa pia huyo dada hakunieleza chochote cha uongo maana baada ya huyo dada kutamka kuwa huyu mtu wangu atapatwa na mabalaa nilimshauri aombe samahani japo si kwa kurudiana ndipo mtu wangu alinijibu kwani yeye ndo alomtuma atoe mimba maana alishamwambia kuwa kama kuzaa azae ila swala la kumuoa asahau maana huyo dada alikuwa anataka akaishi kwake na ukizingatia mtu wangu tangu mwanzo aligoma ila ilibidi akubali makosa baada ya kusikia mimba imetolewa so sikuwa na budi kumuamini huyo dada kwa yote alonambia.
 
Mzee mama utaacha wangapi? wanaume wengi wana michepuko, ukingalia ndugu zetu waislamu wanaruhusu Kuoa wanawake 4 coz mwanaume ana tamaa za kimwili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom