Hivi wengine mliwezaje kusamehe usaliti?

Hivi wengine mliwezaje kusamehe usaliti?

Niko na mpenzi for almost five years now na tulipanga mwishoni mwa huu mwaka tufunge ndoa.Shida imetokea baada ya kugundua anachepuka na nilipofatilia nikagundua mmoja kati ya michepuko yake aliupa mimba. Niligoma kusamehe hili la kuletewa mtoto alonikuta ukizingatia tayari ana mtoto ambaye nilimkuta but huyu nilishakubali nitamlea . Shida ni hili la sasa nashindwa kusamehe moyo unauma mno ingawa hiyo mimba ishatolewa ila nikifikiria swala la huyo dada kuwahi kulala kwa mchumba wangu ndo nakufa ganzi kabisa. Nisaidieni jamani nifanyeje kupunguza maumivu natamani kumuacha mtu wangu ila nashindwa maana nampenda mno.‎
Du yani miaka mitano yote hiyo ya nini ? Eneway maamuzi ni yako
 
Kikubwa pia wewe ndo unayetakiwa umfanye asifikirie michepuko.
 
Mh! nimependa tu ushauri wa mtoa mada mmoja hapo juu....

UCHUMBA NI KIVULI CHA NDOA.

Uamuzi u mkononi mwako.
 
Mama we ulifanya usaliti ukasamehewa basi nawe samehe. Vinginevyo uwe mtu ibada ndio inawezeka.
 
Jiandae kulea watoto wa nje, jiandae drama za bbymama zake !!!! Usitegemee kuwa huyo mtu atabadilika , Pia angalia wewe kama wewe unataka nini katika maisha yako je utaweza kuhimiri hiyo mikiki mikiki ......

Wanaume jamani inabidi ifike mahala muanze kuchagua nani na wapi pa kumwagia shahawa zako or else mipira ipo ..... hizi mambo hizi za kuzaa zaa nje mnawazeesha wake zenu kwa stress !!!
 
Hivi wengine mliwezaje kusamehe usaliti..?

# 32 replies

# 590 views

Hayo ndiyo maajabu ya uchumba katika ndoa. Kulitazama jiwe litakuwa lini. nisawa na kusubiri lini mlima utayafikia mawingu.
 
Niko na mpenzi for almost five years now na tulipanga mwishoni mwa huu mwaka tufunge ndoa.Shida imetokea baada ya kugundua anachepuka na nilipofatilia nikagundua mmoja kati ya michepuko yake aliupa mimba. Niligoma kusamehe hili la kuletewa mtoto alonikuta ukizingatia tayari ana mtoto ambaye nilimkuta but huyu nilishakubali nitamlea . Shida ni hili la sasa nashindwa kusamehe moyo unauma mno ingawa hiyo mimba ishatolewa ila nikifikiria swala la huyo dada kuwahi kulala kwa mchumba wangu ndo nakufa ganzi kabisa. Nisaidieni jamani nifanyeje kupunguza maumivu natamani kumuacha mtu wangu ila nashindwa maana nampenda mno.‎
Dhana au taswira halisi ya mapenzi ni
Uvumilivu
Upendo
Kuelewana
Kusamehana haijalishi kosa limetenndwa mara ngapi
Ukweli
Unapokuwa na mpenzi wako ni kama mwanao anapofanya kosa lazima utabaini kosa ila unapo muuliza juu ya kosa anaweza kukataa hajafanya kosa wakati ametenda kosa kweli hili ni tatizo tena kubwa maana mtu huyu siyo mkweli
Lakini unabaini kosa limetenndwa unamuuliza na yeye anakiri kufanya kosa na kuomba msahama hapa huna budi kumsamehe maana mtu huyu ni mkweli na muwazi kwako
Tujifunze kusamehe bila kuangalia kosa limetendwa mara ngapi
 
Sasa hueleweki kama huwezi kumuacha na unampenda si basi ......amua moja.
 
Nihusike kivipi cause huyo dada alotoa mimba mi mwanzo sikujua kama ni mpenzi wa mtu wangu maana mtu wangu alinambia ni mtu ambaye wako naye kikazi na nilimpigia simu huyu dada kumuuliza baadhi ya mambo kuhusu mtu wangu na ndipo naye akinieleza na yeye ni mpenzi wake na isitoshe ana mimba yake baada ya hapo nilimbana mtu wangu alikataa katakata kuwa huyo dada hana mimba .Na nilipoamua kumtafuta huyu dada tena ili nipate uthibitisho alinijibu kuwa ameamua kutoa mimba maana hawezi zaa na mtu ambaye anaona future haipo na aliniambia kuwa mpenzi wangu atateseka sana maishani mwake skwa kuwa alimlaghai na kumdanganya kuwa sisi tulishaachana hasa hapo mi nahusikaje na hiyo mimba kutolewa?
Hau husiki hapo..shida ni uko nae vipi huyu mtu wako atakuoa au yani mko paMkoja na akachepuka au...maana naona wanaume asilimia kubwa lazi.a tuwe na wawili watatu hata kama unampenda mmoja na unamchagua kuwa mke wako
 
Ukisema umuache kisa kuchepuka basi utaacha karibu wanaume wote maana wanaume wengi (sio wote) kuwa na ka mchepuko ni kitu cha kawaida...

Kama unampenda na yeye anakupenda funika kombe mwanaharamu apite..

Lakini mimi mwanamke akinisaliti hata kama nampenda kiasi gani biashara inaishia hapo hapo...
Kwani wewe umachepuka na wanaume wenzako au ni haohao wanawake? Basi lazima wa kwako nawe achapwe tu
 
Kwani huyo mchumba wako, alisha achana na yule sister?
 
Niko na mpenzi for almost five years now na tulipanga mwishoni mwa huu mwaka tufunge ndoa.Shida imetokea baada ya kugundua anachepuka na nilipofatilia nikagundua mmoja kati ya michepuko yake aliupa mimba. Niligoma kusamehe hili la kuletewa mtoto alonikuta ukizingatia tayari ana mtoto ambaye nilimkuta but huyu nilishakubali nitamlea . Shida ni hili la sasa nashindwa kusamehe moyo unauma mno ingawa hiyo mimba ishatolewa ila nikifikiria swala la huyo dada kuwahi kulala kwa mchumba wangu ndo nakufa ganzi kabisa. Nisaidieni jamani nifanyeje kupunguza maumivu natamani kumuacha mtu wangu ila nashindwa maana nampenda mno.‎
Tupelekeeeee ujinga wako huko,huo tunaitaa udhaifu Kwa mwanamme kama wewe,Yani ulioa single mother,fine still kachepukaa namimba kapewa thn kaitoa af bado uko nae,,sasa unataka tukshaur nini wee mwanamme usiyejielewaaa? Mpk sasa bado uko nae?unamoyo axeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom