Hivi wema anafanya kazi gani?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,981
45,903
Huyu Dada apart from being a former miss Tanzania 2006 haijulikani ni shughuli gani anayoifanya kwakweli.

Nimepitia profile ya page yake ya Instagram naona kaandika yey e ni actress ila so far sijaona movie yoyote aliyoitoa.

Nasikia eti ni MTU maarufu, sasa najiuliza kama umaarufu ndio ajira yake au vipi?

Ni kati ya watu maarufu ambao hata kazi zao hazijulikani ni zipi.

Msiniambie tu kuwa yeye ni actress maana hata hizo movie hazionekani!
 
Kada Wa kijani
 
Mkuu...usiniuzi kwa kujifanzisha ati hujui kuwa ktk Tanzania, na hususa Bandari ya salama, kuna tasnia mpya ya "kutoa mapendo kwa malipo"..
...uko wapi weye?
...na ujue sasa, ktk tasnia hiyo mupya, kuna "walojifanya bidhaa za darja la kwanza"...na, yasemwa, alojipachika jina la kijana maarufu, wa chifu Burito, ndo dalali "tarakimu1", wa darja hilo...!
Kuwa thomaso kamanda...papasa! Haijakufikia awudio kilipu weye?
 
Kwa kuwa ameshahamia upande wa pili( kama ni kweli)....utasikia kila aina ya sifa nzuri kumhusu huyo binti.......

Akiamua kuhama tena.....hizo sifa nzuri zinageuzwa kuwa mbaya muda huo huo.......

Mtu aliyepoteza udhibiti wa kichwa chake ni sawa na gari iliyokosa bleki.......
 
Huyu Dada apart from being a former miss Tanzania 2006 haijulikani ni shughuli gani anayoifanya kwakweli.

Nimepitia profile ya page yake ya Instagram naona kaandika yey e ni actress ila so far sijaona movie yoyote aliyoitoa.

Nasikia eti ni MTU maarufu, sasa najiuliza kama umaarufu ndio ajira yake au vipi?

Ni kati ya watu maarufu ambao hata kazi zao hazijulikani ni zipi.

Msiniambie tu kuwa yeye ni actress maana hata hizo movie hazionekani!
Keshahamia CHADEMA huyo, so be ready to absorb the shockwave from brainless admirers ambao hawako tayari kuona upande wao unajadiliwa hata kama ni fair discussion
 
ACHENI KUCHUNGUZA MAISHA YA WATU KATIKA HII DUNIA KILA MTU ANAISHI KWA STYLE YAKE ANAVYOJUA YEYE ,....

MLETA MADA HADI SASA UMRI ULIOFIKIA ULITAKIWA UJIPIME NA UJICHUNGUZE HADI SASA UMRI UNAKWENDA NI KITU GANI NIFANYE ILI NITOKE KATIKA MAISHA

HAO WENZENU WA KINA WEMA MNAWAPONDA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII WAMESHATOKA KIMAISHA SASA HIVI WANA MAGARI, NYUMBA, VIWANJA, PESA ,......

USHAULI WANGU KWA VIJANA TUFANYENI KAZI TUTOKE KIMAISHA HABARI ZA KUCHUNGUZA MAISHA YA WATU HAZITATUPELEKA POPOTE.
 
Leo Lumumba ndo wamekutuma uje uhoji huku kazi yake? pole sana naona inawauma kuhama chama na ww karibu sana
 
ACHENI KUCHUNGUZA MAISHA YA WATU KATIKA HII DUNIA KILA MTU ANAISHI KWA STYLE YAKE ANAVYOJUA YEYE ,....

MLETA MADA HADI SASA UMRI ULIOFIKIA ULITAKIWA UJIPIME NA UJICHUNGUZE HADI SASA UMRI UNAKWENDA NI KITU GANI NIFANYE ILI NITOKE KATIKA MAISHA

HAO WENZENU WA KINA WEMA MNAWAPONDA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII WAMESHATOKA KIMAISHA SASA HIVI WANA MAGARI, NYUMBA, VIWANJA, PESA ,......

USHAULI WANGU KWA VIJANA TUFANYENI KAZI TUTOKE KIMAISHA HABARI ZA KUCHUNGUZA MAISHA YA WATU HAZITATUPELEKA POPOTE.
Umechemka mkuu.
 
Huyu Dada apart from being a former miss Tanzania 2006 haijulikani ni shughuli gani anayoifanya kwakweli.

Nimepitia profile ya page yake ya Instagram naona kaandika yey e ni actress ila so far sijaona movie yoyote aliyoitoa.

Nasikia eti ni MTU maarufu, sasa najiuliza kama umaarufu ndio ajira yake au vipi?

Ni kati ya watu maarufu ambao hata kazi zao hazijulikani ni zipi.

Msiniambie tu kuwa yeye ni actress maana hata hizo movie hazionekani!

Amekuomba hela ya mlo?
 
Keshahamia CHADEMA huyo, so be ready to absorb the shockwave from brainless admirers ambao hawako tayari kuona upande wao unajadiliwa hata kama ni fair discussion
Hiyo 'fair discussion' ndo mmeikumbuka leo? hilarious
 
Back
Top Bottom