Hivi wema anafanya kazi gani?

Kwa kuwa ameshahamia upande wa pili( kama ni kweli)....utasikia kila aina ya sifa nzuri kumhusu huyo binti.......

Akiamua kuhama tena.....hizo sifa nzuri zinageuzwa kuwa mbaya muda huo huo.......

Mtu aliyepoteza udhibiti wa kichwa chake ni sawa na gari iliyokosa bleki.......
Wewe upo upande gani?
 
Huyu Dada apart from being a former miss Tanzania 2006 haijulikani ni shughuli gani anayoifanya kwakweli.

Nimepitia profile ya page yake ya Instagram naona kaandika yey e ni actress ila so far sijaona movie yoyote aliyoitoa.

Nasikia eti ni MTU maarufu, sasa najiuliza kama umaarufu ndio ajira yake au vipi?

Ni kati ya watu maarufu ambao hata kazi zao hazijulikani ni zipi.

Msiniambie tu kuwa yeye ni actress maana hata hizo movie hazionekani!
Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unafiki duniani. Umeshindwa kumuuliza kipidi yuko ccm unakuja kuuliza leo kwa vile kaama chama...... wakati mwingine jaribu kutumia akili ata kidogo.
 
Back
Top Bottom