Nadhani uko sahihi. Nimejaribu kusoma hii link. Ni kama ulivyoongea.Kuna jamaa alinambia hicho kitu hakuna. Ukabila ulishapotea miaka mingi kutokana na muingiliano wa watu kutoka jamii tofauti. Ila kuna nyumba za kuhidhi mambo ya kale(museum), ndio wamehidhi tamaduni za makabila yote huko na historia zao.
Source. Mwana tu, so unaweza kunikosoa.
Ndo maana MTU ukitaka kufanikiwa uongo, kanuni no.1 uwe na kumbukumbu nzuri, alishasahau kuwa alisema ana miaka 26 msamehe bureKuna Uzi uliuleta hapa kuwa una miaka 26!
Lakini hizo ni kama nchi tofauti tofauti zikaungana ndio maana inaitwa UK "United Kingdom" fikiria kama Tz kila mkoa unakuta kuna makabila ambayo ni wenyeji wa hiyo mikoa mfano: mbeya kuna wanyakyusa na wasafwa, Kilimanjaro kuna wapare na wachagga etc
Kama makabila yao unayajua tunaomba uyataje sio kutupa maelenzo ya rafudhi zao kwamfano hapa tanzania tuna wakara wako kisiwa cha ukerewe wanyambo wako karangwe wapare Wapo Kilimanjaro nkUkiwa London utasikia accent yao ni tofauti na mtu wa York. Mtu wa Liverpool akiongea tofauti na mtu wa Birmingham. Kuna accent nyingine kama za New Castle unaweza ukatoka kapa.
mmmh!!!! "Mungu ibariki Tanzania na watu wake"Wazungu walishafuta hayo mnayoyaita Makabila, ni lazima uelewe Kabila ni neno la dharau na maana yake ni mtu ambaye hajatastaarabika bado, yaani hajaweza kujenga Taifa, na ndiyo maana neno Kabila hutumika Afrika Kusini kwa Sahara, native Americans, aborigines hao ndiyo Wazungu hutumia neno Kabila lkn wengine wote walishafuta!
Isitoshe Tanzania haina Makabila 120 kama mnavyoanini na hayo yote unayoyaita Makabila Tanzania yalianzishwa na Wazungu/ Waarabu kabla ya Wageni kuja kwa mfano kulikuwa hakuna Wanyamwezi, Wahaya, Wagogo, Wachaga n.k. kama tuwajuavyo leo hii!
Hivyo neno Kabila ni neno la dharau kwa Mwafrika kama vile nigger tu!
hahahaha!!!!!!!! hi ni Tanzania.Neno "tribes" ni la kiingereza..... Wazungu wa London ni tofauti na WA Wales japo wote wanajiita waingereza. kuna wezi "thieves".....kuna wanga "wizards"...wanabaguana huko katalunya, wanapigana risasi hovyo huko USA majuzi mtu mzima Steve kaua makumi ya raia bila sababu
Unbluff sasa! huja saidia chochote!ungemwaga maarifa hapa watu wakafaidika.Ume 'bluff' tu ...hujajibu swali bado..
asante pia mkuu.Thanks
Huyu jamaa anayejiita padri ni mpumbavu kupindukia yaan anaweza kuwa mpumbavu namba moja humu JFMimi ni mkatoliki ninayeijuwa vizuri system ya kanisa,
Kwanza kwenye mfumo wa kanisa katoliki maelezo uliyoyatowa hapo utachekwa huwezi kwenda kuinjilisha huko
Kwanza ulipata upadrisho lini? Na uko chini ya jimbo gani? Na je unahudumu shirika gani?