Wanayo ndiyo. Mfano UK kuna wa English, waskotish, wairish, welsh na hawa wote wana lugha zao ambazo mwingine hawezi kumuelewa mwenzie isipokua kiinglish. Na mila zao zinakuwa tofauti. Hivyo hivyo na chi nyingine ulaya ina kabila ndo maana unaona sasa hivi spain kunamgogoro wa wale wanaotaka kujitenga.Mwenye uelewa kutoka history anieleweshe kama wazungu wana makabila kama Tanzania tulivyo na makabila 120 or so! Na kama siyo, kwa nini hii imetokea Africa na siyo Ulaya/ Marekani/ Asia???
Lakini hizo ni kama nchi tofauti tofauti zikaungana ndio maana inaitwa UK "United Kingdom" fikiria kama Tz kila mkoa unakuta kuna makabila ambayo ni wenyeji wa hiyo mikoa mfano: mbeya kuna wanyakyusa na wasafwa, Kilimanjaro kuna wapare na wachagga etcWanayo ndiyo. Mfano UK kuna wa English, waskotish, wairish, welsh na hawa wote wana lugha zao ambazo mwingine hawezi kumuelewa mwenzie isipokua kiinglish. Na mila zao zinakuwa tofauti. Hivyo hivyo na chi nyingine ulaya ina kabila ndo maana unaona sasa hivi spain kunamgogoro wa wale wanaotaka kujitenga.
Ukiwa London utasikia accent yao ni tofauti na mtu wa York. Mtu wa Liverpool akiongea tofauti na mtu wa Birmingham. Kuna accent nyingine kama za New Castle unaweza ukatoka kapa.Lakini hizo ni kama nchi tofauti tofauti zikaungana ndio maana inaitwa UK "United Kingdom" fikiria kama Tz kila mkoa unakuta kuna makabila ambayo ni wenyeji wa hiyo mikoa mfano: mbeya kuna wanyakyusa na wasafwa, Kilimanjaro kuna wapare na wachagga etc
wanayo bwana hivi unaishi duniani au ulimwenguni?
Nikosoe kwa point siyo pumba. Niliyekuwa naongea naye ananielewa. Google kama nadanganya.Acha uongo wewe...
Usilazimishe kujibu swali mradi uonekane na wewe unajua, ili hali unatema pumba tu.
Kama hujui kitu kwa kimya.
Tusije tukakutemea makohozi kwa uongo wako bure!!!!
Wewe toa yako. Naongea ninakoishi hivyo unyamaze.Kujibu hivi tu ndio baaasi...
Hapo unaona umejibu swafiiii....
Mtu yeyote anaweza kujibu hivi.
Tatizo mkiambiwa toeni mifano halisi mnaanza kujinyea.
Wewe toa yako. Naongea ninakoishi hivyo unyamaze.
Huyo jamaa ni muongo Wa kukata na shokaHow funny is this...
Unaambiwa utoe mifano ya Makabila unatoa mifano ya Mataifa yalioungana kuunda UK.
Nani alikuambia States ni Tribes.
Hapo sasa unaishi huko huko. Na bado unatoa mifano ya kipumbavu.
Aiseee.. Ngoja nicheke.. He he heeee
Labda tukuulize kabila ni nini!?Lakini hizo ni kama nchi tofauti tofauti zikaungana ndio maana inaitwa UK "United Kingdom" fikiria kama Tz kila mkoa unakuta kuna makabila ambayo ni wenyeji wa hiyo mikoa mfano: mbeya kuna wanyakyusa na wasafwa, Kilimanjaro kuna wapare na wachagga etc
😀😀 hasa ukutane na vile vimama vinavyo elekea uzeeniUkiwa London utasikia accent yao ni tofauti na mtu wa York. Mtu wa Liverpool akiongea tofauti na mtu wa Birmingham. Kuna accent nyingine kama za New Castle unaweza ukatoka kapa.
Padri gani una michambo.. Mashauzi anasubiri!!?Acha uongo wewe...
Usilazimishe kujibu swali mradi uonekane na wewe unajua, ili hali unatema pumba tu.
Kama hujui kitu kwa kimya.
Tusije tukakutemea makohozi kwa uongo wako bure!!!!
data asante kunisaidia. Makabila yapo in form of dialects.Padri gani una michambo.. Mashauzi anasubiri!!?
Anyway kurudi kwa topic..
Makabila hamna ulaya..
Kwa hapo inakuwa kama kutaja nchi na kila nchi huwa ina-lugha iliyochaguliwa kuwa lugha ya taifa hapo unapata waskotish, wairish etc mi naona mleta mada anataka kujua kama nao wapo changanyikeni kama sisi tz kuna wapogolo, wambulu, wanyiha, wazaramo etc na si kama kutaja maeneo makubwa ambayo ni nchi.Wanayo ndiyo. Mfano UK kuna wa English, waskotish, wairish, welsh na hawa wote wana lugha zao ambazo mwingine hawezi kumuelewa mwenzie isipokua kiinglish. Na mila zao zinakuwa tofauti. Hivyo hivyo na chi nyingine ulaya ina kabila ndo maana unaona sasa hivi spain kunamgogoro wa wale wanaotaka kujitenga.
Mkuu kama unambishia jamaa naomba unipe maana ya neno kabila.Then uniambie hivi kabla ya Berlin conference ulisikia wapi makabila tofauti yakaunda state moja.baada ya hapo naomba ukajaribu kusoma historia ya German unification au Italy unification ndo utaelewa concept ya kile jamaa alichokuwa anajaribu kuzungumza.How funny is this...
Unaambiwa utoe mifano ya Makabila unatoa mifano ya Mataifa yalioungana kuunda UK.
Nani alikuambia States ni Tribes.
Hapo sasa unaishi huko huko. Na bado unatoa mifano ya kipumbavu.
Aiseee.. Ngoja nicheke.. He he heeee