Hivi Wazungu wana makabila?

Hivi Wazungu wana makabila?

Mwenye uelewa kutoka history anieleweshe kama wazungu wana makabila kama Tanzania tulivyo na makabila 120 or so! Na kama siyo, kwa nini hii imetokea Africa na siyo Ulaya/ Marekani/ Asia???

Hakuna Taifa lisilo na Makabila! Isipokuwa Makabila hupotea kwa Kuoleana na Kujichanganya na makabila mengine!
Kuwa na Makabila ishara ya Ukale na ushahidi kuwa bado jamii hizo hazijajichanganya na jumuia ya watu wengine na kuathiriwa au kupoteza uasili wao.

Ndio maana unakuta kuna matangazo au habri tunasikia kuna makabila yapo hatarini kupotea kwa sababu kama hizo hapo juu.

Amerika ya Kaskazini kuna Jamii ya watu mpaka leo ina makabila yao(Natives America) Comache,Navajo ambao mpaka leo wanalinda koo zao na Mila zao wakitawala kwa mila na desturi zao.

Ulaya pia waliwahi kuwa na makabila hasa karne za nyuma kidogo hasa wakati wa Utawala wa dora ya Kirumi - Belgae,Cantiaci,Catuvellauni,Dobunni,Dumnonii,durotriges,Regnenses,Textoverdi na n.k.
Chanzo:- Mitandaoni.
 
Mkuuu, ulaya makabila yalikuwepo, Ila overtime yaliendelea kupungua nguvu kutokana na utaifa...
Yaaaani mataifa ya ulaya ya umri wa mamia ya miaka na kiungo muhimu kwenye taifa ni lugha...
Angalia effect ya kiswahili tz kwa miaka 50 jinsi kilivyo unganisha watu na kupunguza ukabila, zamani kidogo ulikuwa ukisafiri mikoani unakuta more 80% ya lugha inayoongewa ni kilugha cha hapo.. Na hapo kumbuka tz 60% vijini wakati ulaya 95% ni mjini kwa zaidi ya miaka mia+ hivi.........
 
Historia inaonesha kulikuwa na makabila mengi miongoni mwa wazungu, lakini karibu yote yalishapotea kama Warumi (sijui tuite walipotea) na mengine mengi. Majina yake ni magumu unaweza search. Yapo mawili matatu yaliyobaki kama kabila la Wasami wanaoishi Finland.

Ila tujue tu kwamba mchanganyiko wa watu na kustaarabika ni moja ya sababu ya kufa kwa makabila. Mfano kwa Tanzania kuna lugha mbili za Waongamo (au Wangasi) na Wakw’adza ambazo ni kama zimefutika. Waongamo lugha yao ilikuwa ikifanana na wamasai, na inasadikiwa wameingia kwenye kundi la wachaga. Kikw’adza ilikuwa lugha ya mbulu, sijui kama kuna watu bado wanaongea. Ndio hivyo hivyo taratibu makabila hupotea.
 
Hakuna Taifa lisilo na Makabila! Isipokuwa Makabila hupotea kwa Kuoleana na Kujichanganya na makabila mengine!
Kuwa na Makabila ishara ya Ukale na ushahidi kuwa bado jamii hizo hazijajichanganya na jumuia ya watu wengine na kuathiriwa au kupoteza uasili wao.

Ndio maana unakuta kuna matangazo au habri tunasikia kuna makabila yapo hatarini kupotea kwa sababu kama hizo hapo juu.

Amerika ya Kaskazini kuna Jamii ya watu mpaka leo ina makabila yao(Natives America) Comache,Navajo ambao mpaka leo wanalinda koo zao na Mila zao wakitawala kwa mila na desturi zao.

Ulaya pia waliwahi kuwa na makabila hasa karne za nyuma kidogo hasa wakati wa Utawala wa dora ya Kirumi - Belgae,Cantiaci,Catuvellauni,Dobunni,Dumnonii,durotriges,Regnenses,Textoverdi na n.k.
Chanzo:- Mitandaoni.
Ume 'bluff' tu ...hujajibu swali bado..
 
Thanks
 
Wanayo ndiyo. Mfano UK kuna wa English, waskotish, wairish, welsh na hawa wote wana lugha zao ambazo mwingine hawezi kumuelewa mwenzie isipokua kiinglish. Na mila zao zinakuwa tofauti. Hivyo hivyo na chi nyingine ulaya ina kabila ndo maana unaona sasa hivi spain kunamgogoro wa wale wanaotaka kujitenga.
Mkuu kubali tu umetema pumba asubuhi asubuhi, unachoongea wewe ni sawa na mfano Tanzania iungane na nchi za Rwanda, Burundi n' Uganda halafu kwasababu ya huo muungano lugha zao za Taifa (Kinyarwanda, Kirundi, Kiganda na Kiswahili) uziite kabila
 
Mkuuu, ulaya makabila yalikuwepo, Ila overtime yaliendelea kupungua nguvu kutokana na utaifa...
Yaaaani mataifa ya ulaya ya umri wa mamia ya miaka na kiungo muhimu kwenye taifa ni lugha...
Angalia effect ya kiswahili tz kwa miaka 50 jinsi kilivyo unganisha watu na kupunguza ukabila, zamani kidogo ulikuwa ukisafiri mikoani unakuta more 80% ya lugha inayoongewa ni kilugha cha hapo.. Na hapo kumbuka tz 60% vijini wakati ulaya 95% ni mjini kwa zaidi ya miaka mia+ hivi.........

Thanks
 
Mkuu kubali tu umetema pumba asubuhi asubuhi, unachoongea wewe ni sawa na mfano Tanzania iungane na nchi za Rwanda, Burundi n' Uganda halafu kwasababu ya huo muungano lugha zao za Taifa (Kinyarwanda, Kirundi, Kiganda na Kiswahili) uziite kabila
Umechemka mkuu....

Accent sio lugha.
 
Makibila sidhani maana.kilugha kwao ni lugha ya Nchi nzima. Mf.kiswidishi ni lugha ya watu wa sweeden. Makabila yao yalishapotea kutokana na kuchanyika sana kuliko sisi.
Nadhani umenielewa vizuri. Asante sana.
 
Ukiwa London utasikia accent yao ni tofauti na mtu wa York. Mtu wa Liverpool akiongea tofauti na mtu wa Birmingham. Kuna accent nyingine kama za New Castle unaweza ukatoka kapa.
Hata ukiwa mwanza kiswahili watakachoongea ni tofauti na cha Uchaggani..

Swali ni.. je wazungu wanayo Makabila?
 
Ukiwa London utasikia accent yao ni tofauti na mtu wa York. Mtu wa Liverpool akiongea tofauti na mtu wa Birmingham. Kuna accent nyingine kama za New Castle unaweza ukatoka kapa.
Mtu wa Pwani na Bara pia wana accent tofauti. Hata waUnguja na wapemba pia wana accent tofauti. Na kama umefika Kenya watu wa Lamu Mombasa na Nairobi pia accent zao zipo tofauti kabisa. Na ukienda US New York, Down south, middle west na West coast accent zao zipo tofauti kabisa. Na white American na Black American wana tofautiana accent zao. Huyu kaulizia makabila kama Wanyaturu, Wandengereko, Wamasai au Wazulu natal. kama hao Amish kwa kule US

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
 
Padri mcharo,niah said. mataifa yanayounganisha united kingdom ni madogo kuliko mkoa wa mbeya kabla haujazaa songwe au arusha kabla haijazaa manyara kwa hiyo muelewe kuwa hizo ni kabila japo zina stutus ya taifa.
 
Padri gani una michambo.. Mashauzi anasubiri!!?

Anyway kurudi kwa topic..

Makabila hamna ulaya..
Sasa kama hawana makabila ni kwa nini wana msamiati wa tribe.... Ifike mahali wazungu waache kujipendekeza..
 
Back
Top Bottom