DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,306
- 5,036
Nachoka sana
Saana. Jana nikawa nacheki hili documentary YouTube 20 Most Developed Countries in Africanika nikubali sana Afrika, hata kama waja wanaidoji!Unyama sanaa kuishi africa
Achana na supu ya utumbo, tumia za asili...Kama haipo ya utumbo na ya kongoro basi bora nibaki Afrika.
Supu ya utumbo, maharage na chapati 2 mchambuko na maharage ya kumimina aah wee
Nje ya maada, kuna uzi waliuliza wewe crush wako ni nani ?Swahiba Mgagaa na Upwa kwani hujawahi kufika huko kwa wazungu ukatuambia kama supu ya utumbo ipo eti? 😂
Mchanyiko ambao niliushangaa na bado naushangaa ni maharage kuwekwa sukari. Na hii iko Dar tu... Asubuhi mtu anakunywa chai, chapati na maharage anaweka sukari.siwezi kufuta, ni kwamba sivipendi ibaki hivyo
Swahiba supu ya utumbo kwa kweli kule kwa wenzetu sijawahi kuiona 😀,supu ya utumbo,miguu ya kuku na vichwa vya kuku watu wa kule uwa wanavimiss sana ila ndio hakuna 😂 swahibaSwahiba Mgagaa na Upwa kwani hujawahi kufika huko kwa wazungu ukatuambia kama supu ya utumbo ipo eti? 😂
Baadhi ya vitu kama Miguu ya Kuku na vichwa vya Kuku,vinauzwa kwenye maduka yanayouza vyakula fresh vya Mbwa.Swahiba supu ya utumbo kwa kweli kule kwa wenzetu sijawahi kuiona 😀,supu ya utumbo,miguu ya kuku na vichwa vya kuku watu wa kule uwa wanavimiss sana ila ndio hakuna 😂 swahiba
Unakula sio kwasababu ya njaa, unakula kwasababu hujimudu, huwezi kununua vyakula uvopendavyoMaharage na chapati ni vitu sivipendi ila nakula kwasababu ya njaa
Kujitafutia tu magonjwaMchanyiko ambao niliushangaa na bado naushangaa ni maharage kuwekwa sukari. Na hii iko Dar tu... Asubuhi mtu anakunywa chai, chapati na maharage anaweka sukari.
wanasema et sukari inasaidia kuondoa gesi😄Mchanyiko ambao niliushangaa na bado naushangaa ni maharage kuwekwa sukari. Na hii iko Dar tu... Asubuhi mtu anakunywa chai, chapati na maharage anaweka sukari.
huko kuto kujimudu ndo njaa yenyewe niliyo imaanishaUnakula sio kwasababu ya njaa, unakula kwasababu hujimudu, huwezi kununua vyakula uvopendavyo
Huyo aliyelalamika ni yeye labda ndio anashindia maji na mikate coz kila nchi wapo wasiomudu baadhi ya vitu,hata huko Bongo wapo wanaoshindia mikate na maji.Wabeba boksi wanalalamika huko ng'ambo wanashindia mkate na maji eti chakula ghali.
Huku mtaani kwetu wanapima mpaka supu ya 500 chapati 700 diameter kama mfuniko wa ndoo kubwa.