King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 2,309
- 3,224
Bucha za ulaya ili uuziwe utumbo ni sharti uwe na kibali cha kufuga mbwa!!
Kujiendekeza tuMaharage na chapati ni vitu sivipendi ila nakula kwasababu ya njaa
Unapenda nini?Maharage na chapati ni vitu sivipendi ila nakula kwasababu ya njaa
maziwa na mayai au ugali na dagaa, nikimaliza mwezi bila kuvipata nahisi nitapungua uzitoUnapenda nini?
unateseka mwanetu?Kujiendekeza tu
Mkuu Bujibuji vyakula tuvipendavyo kama baga, hambaga, pitza au kyepe vumbi cha kwa Sele Bonge nk wataalamu wa lishe kutoka SUA wanatuambia havina afya!! Wanatoa na formula ya Chemistry!Unakula sio kwasababu ya njaa, unakula kwasababu hujimudu, huwezi kununua vyakula uvopendavyo
Niliona mara ya mwisho wanauza ukoko wa ugali na wali, na vigunzi nikashangaa sana kwamba hiyo ni kweli?!...hii ndio sababu nagwaya Ulaya! Maisha ya kirobotiroboti!Vyote hivyo vinapatikana kwenye Sepermarket mkuu,unanunua kisha unapika mwenyewe,Miguu ya Mbuzi,Miguu ya Kuku vinauzwa kwenye Paketi,frozen au fresh unapata.
Hivyo vigunzi ni mahindi machanga,hua wanapika kwa kumix kwenye wali au mchuzi.Niliona mara ya mwisho wanauza ukoko wa ugali na wali, na vigunzi nikashangaa sana kwamba hiyo ni kweli?!...hii ndio sababu nagwaya Ulaya! Maisha ya kirobotiroboti!
Vitu fresh/Organic vipo mkuu,ni hela yako tu.Dah bora uchina wanauza nyoka mzima chura mzima umachagua ndio umpike ila ulaya maisha yenu ya supamaketi siyawezi !
Ndio.Ila nasikia organic huko bei kali sana!!
Hapa town lazima uchague moja, ukae sehemu ambayo utalipia kodi kubwa utumie nauli kidogo ama ukae sehemu utalipia kodi kidogo na utumie nauli kubwa.😂unateseka mwanetu?
vinaingilianaje na chapati maharage?Hapa town lazima uchague moja, ukae sehemu ambayo utalipia kodi kubwa utumie nauli kidogo ama ukae sehemu utalipia kodi kidogo na utumie nauli kubwa.😂
Oooh. Ahsante Swahiba.Swahiba supu ya utumbo kwa kweli kule kwa wenzetu sijawahi kuiona 😀,supu ya utumbo,miguu ya kuku na vichwa vya kuku watu wa kule uwa wanavimiss sana ila ndio hakuna 😂 swahiba
😂😂Oooh. Ahsante Swahiba.
Mwenzio nikajua zipo. 😂😂