pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 17,725
- 13,794
Hapa ndio niliona tuna laana ya kuwa na viongozi wasiojitambua kabisa na watu kama hawa kamwe hatuwezi kwenda popote!Mtu mweusi ni kama ana laana hivi, mfano juzi waziri anaulizwa hali ya uchumi anasema mambo ni shwari kwa sababu kila akitembea njiani anaona gari namba E pia watu wananchangia sana michango ya harusi, sasa kama hiyo ni akili ya mtu aliyepewa wadhifa wa kusimamia uchumi wa watu takribani milioni 60 na ni msomi wa kiwango cha Phd hao walio ishia kidato cha nne watakua na fikira gani??!! kuna maana nyingine ya laana zaidi ya hii kweli??????
Wengi wanaochangia hii mada wanatanguliza mihemko badala ya tafakuri, wapo kama vipofuUlisemalo laweza kuwa kwa %chache sana, tuelewe kuwa mzungu kuna namna alivyoset hii dunia ili aendelee kuitawala na ukiangalia kwa makini utaona ngozi nyeusi ndilo kundi la mwisho ambalo amelenga ili lisijinasue kutoka kwenye lindi la umasikini, kuendesha nchi haina tofauti sana na kuendesha familia, sio rahisi sana kutoka familia ya kimasikini mara ghafla tu unakuwa tajiri bila kushikwa mkono, ni lazima awepo mtu akwambie pita hapa na pale mwisho utatoboa, lakn fikiria kila ulifanyalo kuna mtu anaweka kauzibe, yeye anakandamiza tu usiinuke unadhani kuna siku utatoboa?
Halafu kutwa kulalamikia wazungu black lives matter.
Ni ngumu kukutana na watu wa Asia wanaoishi Marekani kulalamika wazungu hovyo hovyo wao wanapiga kazi wanapata elimu, pesa wanajazana tu kwenye makampuni makubwa kama wahindi, wachina.
Soma Historia ya Haiti vizuri na Deni la Kitumwa walilokuwa wakimlipa Mfaransa na kuingiliwa na Marekani ili Watumwa wa Marekani wasiige KUPINDUA Serikali.
Mimi nimachoshangaa ni sisi Watu weusi wa Afrika kutokuisaidia Haiti hata ikibidi kutuma Majeshi na Misaada.
Nani kasema Haiti hakuna Barabara?kwahiyo, iyo ndio sababu ya hata kushindwa kujenga barabara?
popote unapomwona mtu mweusi,au mwarabu aliyeshika dini kunakuwa na tabia zinazofanana.
ukitaka kujua watu weusi tuna matatizo angalia mambo wanayofanya ccm,yaani hawana shida nyingine zaidi ya kuona nchi imeingia machafuko haitawaliki tena ndio tumaini lao.kila siku wanafanya ujinga tu.
Unauhakika kua mtu mweusi hawezi jiongoza!
Kama hivo ndivyo kwanini Wazungu wanahangaika kuua Vingozi bora wa africa ambao wamekataa kua vibaraka
1.Patric Lumumba
2.John sankara
3.Magufuri
4.Gadafi
Foreign direct investment iliyopelekwa Dubai unaweza linganisha na taifa Gani la mtu mweusi
Bas muweke baba ako kama unaona kuna kitu alifanya kwenye hii nchiEti Magufuli 🤣🤣🤣🤣
Mradi wenyewe wananchi wataurogaUko sahihi.
Kiongozi Yuko Radhi afiche Bilioni 500 akala na wahuni wenzie kuliko kujenga Mradi wa maji ukabudumia watu Milioni 2
Ndio maana nikaweka na nyongeza"aliyeshika dini"huyo muarabu umemuweka kwa chuki tu hapo ndugu, Hebu Nenda Dubai katembee umeuone Muarabu alivyo.
Ndio maana nikaweka na nyongeza"aliyeshika dini"
Si kila muarabu ni mbuzi,hapi dubai sababu sio wakomalia dini wameifanya kuwa mji wa mfano kwa jamii za dini zote,vinginevyo pesa zote za mafuta wangejenga misikiti kila familia ya hapo dubai iwe na wa kwake.
Sijafika kwa sababu mimi sio muislam na nina chuki sana na uislamu.punguza chuki na uislamu ndugu, Saudi umefika?
Sijafika kwa sababu mimi sio muislam na nina chuki sana na uislamu.
Nataka nisilimu ili nifike.
Dubai haujashika dini,ila ina waislam na misikiti.jaribu hata kutizama kwenye mitandao uone maendeleo yao, na ni katika chini zilizoshika dini sana tena kwa mda mrefu sana