Hivi watu huwa wanajiona nani yaani?

Hivi watu huwa wanajiona nani yaani?

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,841
Reaction score
25,359
Nakuuliza/Nawaauliza unajisikiaje ukimwambia mtu yeyote malaya au kahaba?

Wewe ni nani? Una uhakika? Wewe umekuwa na uhusiano mmoja tokea ujue mapenzi/ kubalehe/mpaka uoe au uolewe?

Acheni hizo, watu wazini na watu wanaliwa na kula, ndiyo mpango mzima. Acheni kujiona wasafi, kama wewe msafi nyanyua jiwe mpige huyo kahaba basi au huyo malaya basi eh?

Acheni kudharauliana, kila mtu ana maisha yake. Wewe fuata yako na pangia watoto wako maisha na upange maisha yako na ukoo wako ujao, acha watoto wa watu na walivyokuzwa.

Malaya ni wao na wewe tengeneza kizazi cha wasiyo malaya, tengeneza watakatifu. Kwendraa, mxiuu, eti fuata yako maisha, huwezi ingilia maisha watu wengine sababu siyo yako.

Nimemaliza, hii ni kwenu wote.
 
Nakuuliza nawaauliza unajisikiaje ukimwambia mtu yeyote Malaya au kahaba ..?

Wewe ninani ??

Unauwakika wewe umekuwa na uhusiano mmoja tokea ujue mapenzi??
Au kubalee au mpaka uoe au uolewe ??

Acheni hizo watu wazini na watu wanaliwa nakula ndio mpango mzima .

Acheni kujiona wasafi kama wewe msafi nyanyua jiwe mpige huyo kahaba basi au huyo Malaya basi eh !!!!!

Wacheni kudharauliana kila mtu ana maisha yake .

Wewe fuatq Yako na pangia watoto wako maisha na upange maisha Yako na ukoo wako ujao acha watoto wa watu na walivyokuzwa .

Malaya ni wao na wewe tengeneza kizazi Cha wasio Malaya tengeneza watakatifu ..

Kwendraaaa Mxiuu eti eti fuata Yako maisha huuwezi ingilia maisha watu wengine couze sio Yako.

Nimemaliza hii nikwenu wote
Yani akikuita malayer mwambie me malayer kweli nipe namba za simu za mshua ako na kaka zako wote nkuonyeshe malayer hua tunafanya kazi gani.
 
Ukweli ni kwamba malaya/makahaba wapo. Yani muhusika hata asipo tamkiwa ndivyo anavyo onekana na wengi......Ila kama ndo maisha alojichagulia mtu mwili si wake bana?
 
Ukweli ni kwamba Malaya/ Makahaba wapo na wasio malaya pia wapo, waitwe au wasiitwe haiondoi ukweli huo.
 
Nakuuliza nawaauliza unajisikiaje ukimwambia mtu yeyote Malaya au kahaba ..?

Wewe ninani ??

Unauwakika wewe umekuwa na uhusiano mmoja tokea ujue mapenzi??
Au kubalee au mpaka uoe au uolewe ??

Acheni hizo watu wazini na watu wanaliwa nakula ndio mpango mzima .

Acheni kujiona wasafi kama wewe msafi nyanyua jiwe mpige huyo kahaba basi au huyo Malaya basi eh !!!!!

Wacheni kudharauliana kila mtu ana maisha yake .

Wewe fuatq Yako na pangia watoto wako maisha na upange maisha Yako na ukoo wako ujao acha watoto wa watu na walivyokuzwa .

Malaya ni wao na wewe tengeneza kizazi Cha wasio Malaya tengeneza watakatifu ..

Kwendraaaa Mxiuu eti eti fuata Yako maisha huuwezi ingilia maisha watu wengine couze sio Yako.

Nimemaliza hii nikwenu wote

Maisha ni kuheshimiana na kudhauliana.
Ukifanya ya heshima utaheshimjwa, ukifanya ya kudharauliwa utadharauli.

Muhimu kila mtu afuate maisha yake.
Kufuata maisha yake mtu ni pamoja na kudharau vinavyofanya Jambo ya kudharauliwa na kuviheshimu vinavyofanya yanayoheshimiwa

Ila maisha pia ni kuchagua kudharauliwa na kuheshimika.
Kwa hiyo kama mtu kaamua kuchagua kudharauliwa Kwa kufanya uzinzi asioangie watu kuwa asidharaulike, kama alitaka asidharaulike basi aache uzinzi au mambo maovu.

Ni mtu Mpumbavu pekee ambaye anafanya Jambo Fulani alafu akitambuliwa Kwa Jambo Hilo anachukia.
Yaani mtu ni mchawi alafu akiitwa mchawi anachukia. Hiyo ni Dalili za upopoma.

Mpaka dunia inaisha Uovu na waovu watadharauliwa hata waje wapigania haki au watetezi WA waovu.
Kwa sababu mambo hayo ni laana.

Kumbuka, waovu pia hudharauliana, mtu mwingine kuwa na dhambi Fulani haimfanyi akuheshimu ukifanya dhambi nyingine lazima akudharau.

Hivyo hiyo Kauli ya kusema Kwa vile mtu sio mtakatifu bado asiwadharau wadhambi haina mantiki.
Maana kanuni ya kuzimu/waovu ni kulana wao Kwa wao na kudharauliana.
 
Nakuuliza nawaauliza unajisikiaje ukimwambia mtu yeyote Malaya au kahaba ..?

Wewe ninani ??

Unauwakika wewe umekuwa na uhusiano mmoja tokea ujue mapenzi??
Au kubalee au mpaka uoe au uolewe ??

Acheni hizo watu wazini na watu wanaliwa nakula ndio mpango mzima .

Acheni kujiona wasafi kama wewe msafi nyanyua jiwe mpige huyo kahaba basi au huyo Malaya basi eh !!!!!

Wacheni kudharauliana kila mtu ana maisha yake .

Wewe fuatq Yako na pangia watoto wako maisha na upange maisha Yako na ukoo wako ujao acha watoto wa watu na walivyokuzwa .

Malaya ni wao na wewe tengeneza kizazi Cha wasio Malaya tengeneza watakatifu ..

Kwendraaaa Mxiuu eti eti fuata Yako maisha huuwezi ingilia maisha watu wengine couze sio Yako.

Nimemaliza hii nikwenu wote
Mwanamke yeyote anae andika "unauwakika" badala ya "uhakika" namuona ni malaya tu
 
Back
Top Bottom