Hivi Wanawake Wanataka Wafanyiwe Nini?

Hivi Wanawake Wanataka Wafanyiwe Nini?

Kwa mange kumekucha aiseeeeee! Wale wapenzi wa umbeya wa mujini! Leo muke ya Juma Nature kavuliwa nguo zooooooote! Its SAD!
 
Umeonana na binti leo, na huna uhakika kama utakutana nae tena katika harakati za maisha! Lakini unapomwambia kuwa unampenda,anakuambia Haa! Mbona mapema kuniambia hivo? Sasa nawaomba wanabodi kuna ubaya wowote kukutana na mtu siku hyo hyo ukamwambia lengo lako?


Wengi wanataka assurance katika penzi kitu ambacho kwa sasa hapa Bongo hakuna. Si ndoto ila ukweli ni huo hakuna penzi la kiukweli hapa. Penzi linanoga mwanzoni then mkishaoana kero ndipo zinapoanza. Wewe unaweza penda mke wako kwa asilimia yote na kila kitu ukampa, then unarudi kazini kelele mtindo mmoja wakati mtu unataka kupumua na kujitafakari. Kuna kitu kinaitwa "love at first sight." Binafsi nina doubt nayo, kwa sababu kuna ile mtu unaona mwenzio then unashikwa na mfadhaiko wa hajabu. This is not love at first sight bali ni nyege za inzi ila wazungu wanaita love at first sight. Unaposhikwa na hizi nyege za inzi mara nyingi unakuwa hauna cha maana unachofikiria kichwani zaidi ya kumvua chupi yule aliyekupa mfadhaiko, na ukishakula kile kitumbua basi hata ile hamu ya kuwa na yule demu au ule mfadhaiko unapotowekea hujuwi. Kwa wanabodi wenzangu ambao mmeshawahi kupatwa na hii kitu, hamjawahi kula kitumbua mlichokifukuzia muda mrefu then mara baada ya kukichambua mkaona ni upuuzi mtupu? Mi naona mtu kama unataka kuchambua kitumbua bora tu uwe direct, hakuna haja ya kumzungusha mwenzio na kumpa matumaini ya hajabu kwa kumdanganya kwani kila binadamu inabidi aliwe na mwenza wake hata na strangers ikibidi maana vidole tu na visanamu havikithi haja. Idumu one night stand na Mungu ibariki Tanzania na watu wake:amen:
 
Umeonana na binti leo, na huna uhakika kama utakutana nae tena katika harakati za maisha! Lakini unapomwambia kuwa unampenda,anakuambia Haa! Mbona mapema kuniambia hivo? Sasa nawaomba wanabodi kuna ubaya wowote kukutana na mtu siku hyo hyo ukamwambia lengo lako?

me pia ningekua demu nakutosa tu, mbona uongo sana,? kumpenda mtu kwa cku ya kwanza kuonana alafu unajaribu ba kusema ilikua lengo lako!! lengo gan mkuu? yawezekanaje upange malengo kwa mtu ambaye hujawah kumuona? unajua mademu wanatusikiliza na kutuelewa kirahisi sana na kama wangekua na mioyo kama ya wanaume me nauhakika kumshawishi ingekua vgumu sana, ila watu kama nyinyi akina apolonary ndo mnawafanya wanaona cc tunawadanganya kwa kila jambo! we utaongeaje uongo wa wazi kama huu???????? eti lengo langu daaaah!!!!!!!
 
Umeonana na binti leo, na huna uhakika kama utakutana nae tena katika harakati za maisha! Lakini unapomwambia kuwa unampenda,anakuambia Haa! Mbona mapema kuniambia hivo? Sasa nawaomba wanabodi kuna ubaya wowote kukutana na mtu siku hyo hyo ukamwambia lengo lako?
ndugu ni hivi kwa sababu wewe ni begginer inabidi ufunguke tu kwamba ungependa kuonana nae cku nyingine na vitu kaa hizo..muda unavyoenda unaja mtemea madini,,tu ila uko fasta kama voda fasta bandugu
 
Umri wako ni miaka mingapi kwanza, mana waweza kuwa unapewa ushauri wa kukibwa kumbe we under 18
 
WATANGA ndo wanajibu zuri "Waja leo wanitaka leo leo si ulale ndo kesho unitake" umekurupuka mwanawaneee
 
Angalau huyo kakwambia hivyo

Mimi ningekukimbia "shika adabu yako"
 
Hata mimi sio demu lakin ningekuchomolea au ndio wengi walaghai wanamambo ya mjini kuwa makin
 
Dooh wewe bado sana...kua uyaone kijana. Kama umepata chance ya kuongea naye at least chukua namba...mengine yatajiset. Unajua kupenda si neno ddogo...[ mwengne atakuambia hana sim, mkuu!
 
kule hom kigombelachoni..dem haambiw bali anapewa amri..kama jeshi vile...noo kubembeleza banaaaa
 
Back
Top Bottom