Hivi wanawake wanajiendekeza au?

Status
Not open for further replies.

Enock gabriel

JF-Expert Member
Apr 26, 2021
348
312
Habarini! Kuna wakati katika maongezi unaweza sikia msichana akimuambia mwenzake, 'yule kaka ameshalipia mahari, na kakamilisha taratibu zote, nilikuwa nampenda ila ghafla nimejikuta tu namchukia'.

Pia anaongeza, 'sijui kwa nini namchukia na ananihudumia kila kitu'

Na maneno mengi ya ukakasi kama haya, hivi ni kweli? Au ni visingizio na wizi/utapeli tu? Maana wengine hushauriwa mpaka kukimbilia kuombewa, eti wana mapepo.
 
Nilimtongoza akakubali nikaenda kwao nikatoa posa baada ya hapo Mahali nikatoa ndugu na jamaa wakaandaa harusi bado wiki moja kufunga ndoa mchumba akakataa 😣😣😣.
Hivi viumbe nikavishusha thamani kabisa
 
Hao ndy wanawake mzeee
 
Nilimtongoza akakubali nikaenda kwao nikatoa posa baada ya hapo Mahali nikatoa ndugu na jamaa wakaandaa harusi bado wiki moja kufunga ndoa mchumba akakataa 😣😣😣.
Hivi viumbe nikavishusha thamani kabisa
Mbona we ndo ulishushwa kabla hujawashusha yoote uliyafanya akikuchora tu anasema huyu boya hata picha haoni?
 
Habarini! Kuna wakati katika maongezi unaweza sikia msichana akimuambia mwenzake, 'yule kaka ameshalipia mahari, na kakamilisha taratibu zote, nilikuwa nampenda ila ghafla nimejikuta tu namchukia'.

Pia anaongeza, 'sijui kwa nini namchukia na ananihudumia kila kitu'

Na maneno mengi ya ukakasi kama haya, hivi ni kweli? Au ni visingizio na wizi/utapeli tu? Maana wengine hushauriwa mpaka kukimbilia kuombewa, eti wana mapepo.
Usiwalaumu kwenye kuchumbiwa kuna mengi.. Vita ni kubwa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom