Hivi wanawake wanajiendekeza au?

Hivi wanawake wanajiendekeza au?

Status
Not open for further replies.
Marehemu hasn pope kweli ni mwanaume watoto 7.
Sisi wa leo tunataka utajiri tu tunaogopa kuwazalisha hawa viumbe.
Hebu tuwaonee huruma tuwazalishe tu hata mtoto mmoja mmoja wasiteseke mwanzo wa uzee wao.
 
Hii sio kwa wanawake tu ata kwa wanaume huwa inatokea japo ni mara chache chache.

Hii inaweza sababishwa na kulazimishwa na wazazi kuolewa.
2.Tamaa: unakuta dem anatamaa ya mali/utajiri anakubari kuchumbiwa ili tu akaishi maisha ya ndoto zake ila baadae anagundua kuwa hana hisia na yule aliemchumbia tena bali alikubari kwa kusukumwa na tamaa na sio upendo
3. Ushirikina nao pia unausika kwenye jamii zetu hasa za kiswahili sio kila mtu anafurahia jambo zuri kwa wenzao
 
Nilimtongoza akakubali nikaenda kwao nikatoa posa baada ya hapo Mahali nikatoa ndugu na jamaa wakaandaa harusi bado wiki moja kufunga ndoa mchumba akakataa 😣😣😣.
Hivi viumbe nikavishusha thamani kabisa
Pole sana chief
 
Kuna kile kisa kililetwa humu JF na mhusika mwenyewe.. Alimkataa mwanaume dakika za mwisho tena siku ya send off.. Baadae zilipomrudi akaja hapa kuomba ushauri.. Huo ni mfano mmoja tuu ipo lukuki
Duh huyo muuaji kabisa
 
Kiufupi tu ni kwamba unatakiwa kumzalisha mwanamke ndio ukatoe mahari na kutangaza ndoa ata akikukimbia kabla ya ndoa unakua huna ulichopoteza.
Hii ndiyo trick nzuri kwa sasa hivi... Jeuri ya mwanamke inaishaga kabisa! Labda afanye abortion tu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom