Hivi wanawake wana mioyo gani?

nyie wanaume ni wajinga kwa nini upewe tunda ukubali kula
Ndio adamu alifanya makosa sana maana hata kabla hajatwaliwa eva kutoka kwenye ubavu wake alionywa akaambiwa usili tunda na mti wa katikati yeye akala weee kilichomkuta ni siri yetu walimwengu na ndi maana nasema wanawake ni wadanganyifu sana
 
hata we wanakudanganya sana sema hujui tu
 
mwone unaroho mbaya atuondoe halafu iweje ? we ni mbinafsi na sasa watakutesa mpaka ukome
na tia moto maana sinaga mchezo mimi pia furaha yangu sio mmwanamke bali Mungu, upendo kwa wanaume wenzangu na pesa
 
hata we wanakudanganya sana sema hujui tu
Huwa nakula naacha huko mradi nipate changu wala siwezi weka makazi ya kudumu maana najua ni njia panda tuu kuna magari yanayopanda ya yanayoshuka na mengine yanaenda kila kona
 
Huwa nakula naacha huko mradi nipate changu wala siwezi weka makazi ya kudumu maana najua ni njia panda tuu kuna magari yanayopanda ya yanayoshuka na mengine yanaenda kila kona
kumbe tundu unalipenda halafu anakataa mbeba tundu hujielewi wewe
 
Ishi na mwanamke kwa akili. Narudia kwa Akili, akili, akili, usijifanye mr. 50/50 au mr.huruma na huruma zako za kibinadamu, Jua Bwana anataka uishije na mkeo maana anamfahamu zaidi yako , sisemi umtese, La Hasha. Ila tambua kuwa sio kila mwanamke utamchekea chekea mkaishi vizuri. WENGINE WANATAKA WANAUME WAHUNI WAHUNI FLANI HIVI JAPO UTAMSIKIA AKISEMA ANAHITAJI MCHA MUNGU ila wewe mcha Mungu ukiishi naye mnashindana mapema lakini akienda kwa jamaa MHUNI flani hivi wa kumfinya na kumpiga makofi ya hapa na pale, ndio moyo wake unatulia hadi utashangaa. Kwa mfano: UKISIKIA ANASEMA HATAKI MWANAMME MCHEPUKAJI, USIMWAMINI KWA 100%, MAANA HUENDA NDIYE ANAYEMUONA MJANJA WA KUISHI NAYE AU KUTOKA NAYE.
 
sababu tunaingia hedhi na tukibeba mimba hatuwezi tembea muda mrefu.. halafu pia alijua hawezi kuweka hasi na chanya pamoja ......
Maana angeweka hizo hasi na chanya pamoja lazima zingeleta Umeme na kuzaa Mwanga kama wa Adam na Eva
 
kumbe tundu unalipenda halafu anakataa mbeba tundu hujielewi wewe
Ndo maana nakwambia mimi siwezi lihifadhi katika store yangu kama eti ni mali yangu. no ni kama chakula tuu unakula mwishowe unaenda kunya.
Ndo hivo siwezi wekeza kwa wanawake bora nikampe pesa zangu maskini na mayatima nijiwekee hazina kwa Mungu.
 
hii story tamuu!
 
Kumbe unaongelea nature sio? basi hamuwezi acha sababu mlizaliwa hivyo.
Sasa kwa sababu tushajua udhaifu wenu na jinsi mlivyo nafsini mwenu psychology works lazima mtutambue.
Lazima tuwanyooshe.
Ukimnyoosha kwa pasi ya mkaa mwenzio atakunyoosha kwa pasi ya gesi labda aamue mwenyewe tu kiboya boya ila ukiamua kushindana na mwanamke ambae amedhamilia kukushinda utagonga ukuta baba
 
kweli mkuu. hakuna mwanamke kamili ila yupo mwnamke bora.
na ukiwa na mwanamke usidhani eti anakupenda mara nyingi sio kweli. yuko na wewe ili kupata pesa kutokana na shida zake, au anapoteza mda tuu ili akamilishe mipango yake. ni wanafiki sana hawa watu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…