sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,127
- 48,311
Emoj ujinga tena? Wewe huna uzoefu na haya mambo....X sasa ndipo anapokosea coz ushamuona sio wife material ukampata wife material ukamoa huyo.yeye ya nini aje kukumbushia kwako uliemuona sio wife material? huu ndo ujinga sasa usiofaa. unajua natolea hii ya kusema mtamu, coz ndo mnaanzaga na maneno matamumatamu kuwadanganya kumbe ukweli wife wako anakuridhisha sana tu.
Acha tuu, still penzi la x lipo moyoni tho sio wife material...
Last edited by a moderator: