Jumamosi ntakua na mechi ya kukumbushia na x wangu anarudi toka kijijin kwao alikoenda tembelea wazee wake. Ntaendelea kumla tu, maana hakuna namna nyingine.
Tulikua wapenzi, tukaachana. Tukarudiana, tukaachana, wakamtia mimba akazaa mtoto. Huyo aliyezaa naye hana mpango wa kumuoa. She is miss independent. Tukikutana kama kawa kama dawa. Kweli hawara hana talaka, ukimtaka unampata.
Mkiachana kwa amani, inapendeza kukumbushia.
umeoa au una mpenzi mpya?
ha ha hahahaSioni tu "report abuse" hapa. Huyu anatuharibia tu fursa. Wapendwa msimsikilize tafadhali.
Sioni tu "report abuse" hapa. Huyu anatuharibia tu fursa. Wapendwa msimsikilize tafadhali.
na mnapokuja kukumbushia mnazungumza nini hasa? kwamba muendelee na uhusiano kwa maana kwamba mrudiane au mnakuwa na lengo gani hasa?