Hivi wanawake tunakuwaga tumelogwa ama?

Hivi wanawake tunakuwaga tumelogwa ama?

Kila mtu ana namna yake ya kuchukulia katika swala zima la mapenzi.

Wengine mapenzi ni enjoyment.

Kuachwa ni matokeo tu, na kudadavuana ni kitu kingine tofauti

Sa si kuna wanaume kibao tu kama ishu ni enjoyment? why urudie matapishi?
 
Sasa uowe wangapi? Akat unampenda mke na yule wa zaman stil yupo moyoni..
Emoj tafadhal..mambo mengine yakaushie tuu...

Ex watam

kama mtamu si ungeoa yeye?,na unaoaje wakati yule wa zamani still yuko moyoni? ndo kudanganyana sasa huko kwamba bado uko moyoni kumbe wala hauko.
 
Last edited by a moderator:
Hawara huwa hatongozwi.... Mkishagegendwa, halafu mkaolewa hukooo... Mkiambiwa tu aaagh Asha tukakumbushie basi... Huyoooooo unagegedwa halafu basi...
 
hii ndo tunayopiga vita coz ni ujinga na kuvunjiana heshima.
 
Wew kama unasifiwa mnato afu unauliza kama wew ni mnato kwanin alikuacha...???? Sisi hatuwowi minato bana.... It takes alot to became a wife material... Na kua mnato sio hata nusu ya vigezo hvo...... So ukiwa mnato afu sio wife material nakubwaga natafuta wife material nawowa nikimiss mnato wako ntakutafuta tutapasha uporo kama kawaida......
 
kama mtamu si ungeoa yeye?,na unaoaje wakati yule wa zamani still yuko moyoni? ndo kudanganyana sasa huko kwamba bado uko moyoni kumbe wala hauko.

X mtamu kwa bed tuu, nliemuoa ni wife material...alafu hana kiwango kizur kitandani...why nimuache x ?
 
Sa si kuna wanaume kibao tu kama ishu ni enjoyment? why urudie matapishi?

Kwani akienda kwa mwanaume mwingine anaenjoy zaidi??? Ujawahi kukutana na maplayer kama mimi.

Player sifa yetu kubwa tunajua sana mautundu yote ya 6 x 6

Nitakubwaga, nikikuhitaji utanipa tu.

Siyo sifa kuongeza idadi ya wanaume utakao tembea nao, sii kila mwanaume auone mwili wako.

Mapenzi kwangu ni enjoyment, sii kisasii
 
Wew kama unasifiwa mnato afu unauliza kama wew ni mnato kwanin alikuacha...???? Sisi hatuwowi minato bana.... It takes alot to became a wife material... Na kua mnato sio hata nusu ya vigezo hvo...... So ukiwa mnato afu sio wife material nakubwaga natafuta wife material nawowa nikimiss mnato wako ntakutafuta tutapasha uporo kama kawaida......

Yea najua ni mambo mengi yanahitajika kuwa wife material. sex ina sehemu yake sana tu. Ila sawa ulimbwaga coz uliona hafai kuwa mkeo kwa sababu zingine,ya nini yeye adanganyike na maneno yako ya uongo hadi aje kukumbushia wakati uliona sio wife material ukambwaga?
 
X mtamu kwa bed tuu, nliemuoa ni wife material...alafu hana kiwango kizur kitandani...why nimuache x ?

X sasa ndipo anapokosea coz ushamuona sio wife material ukampata wife material ukamoa huyo.yeye ya nini aje kukumbushia kwako uliemuona sio wife material? huu ndo ujinga sasa usiofaa. unajua natolea hii ya kusema mtamu, coz ndo mnaanzaga na maneno matamumatamu kuwadanganya kumbe ukweli wife wako anakuridhisha sana tu.
 
Kwani akienda kwa mwanaume mwingine anaenjoy zaidi??? Ujawahi kukutana na maplayer kama mimi.

Player sifa yetu kubwa tunajua sana mautundu yote ya 6 x 6

Nitakubwaga, nikikuhitaji utanipa tu.

Siyo sifa kuongeza idadi ya wanaume utakao tembea nao, sii kila mwanaume auone mwili wako.

Mapenzi kwangu ni enjoyment, sii kisasii

kwa hiyo sifa ni kuendelea kukumbushia kwa X sio??
sina maana kwamba kuongeza idadi ya wanaume wa kutembea nao, sa tumeachana unataka nibaki kukumbushia nawewe usiye na future na mimi ushaoa ya nini???. Ndugu hakuna uplayer wala nini yaani.walikuwepo maplayer sana ila mbele ya mwanamke anayejitambua waliishia kujiweka pembeni.Ni mwanamke kuweka msimamo na kujitambua
 
Ndio tatizo lenu nyinyi wasichana/wanawake wa siku hizi. Sii kila mahusiano lazima yaishe na ndoa.

Ndio maana niliachaga kudate na waafrica

Nyinyi mnafanya mahusiano kwa malengo. Nyinyi mnashidwa kuwaambia wanaume mnawo wapenda wawaoe.

Nyinyi mahusiano malsai

Mapenzi ni feeling. Eti unamnyima kisa mliachana????

Visasii vimewajaa!!!
 
Back
Top Bottom