Emoj
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 839
- 1,315
Sawa mlikuwa kwenye mahusiano na huyu mwanaume ikafika mahala kwa namna moja ama nyingine mkashindwa kuendeleza uhusiano huo,mnafikia kuachanaa.Jamaa huko kaanzisha mahusiano mengine na wewe uko na uhusiano mwingine.
Siku ya siku anakukubuka huko aliko kashikwa na ukame kidogo coz wife katoka kidogo,au kajifungua,anaona akutafute utamsikia Jamani Asha Najuta kuachana na wewe,wewe ndo ulikuwa chaguo langu, namiss sana mambo yako, Ukimuuliza Lakini si una mke? utamsikia mke wangu haniridhishi,yaani najuta kuachana na wewe maana ulikuwa mtamu,wa moto,mnato yaaani.
Sasa wanawake na sisi tulivyogo na akili sijui za wapi ama sijui ni kulogwa,tukiambiwa hivi tunalendemkaaa kama mlenda,kichwa hichoooo kinatuvimba na kuanza kujisifu et hahaaa kumbe bi shost hana lolote? (kumbe ukweli mke wake humfikii hata nusu lijamaa linataka tu likuchafue asepe zake),basi ndo siku hiyo hata kulala usingizi unakata kisa tu kusifiwa na Lijamaa ambalo ni anataka tu ale then basi.
Basi akikuambia tukutane mwanamke huyooo unaenda.Hivi jamani kuambiwa tu hivi ndo tujitoe ufahamu hadi kushindwa kujiuliza tu maswali mawili matatu kwamba hivi mke wake angekuwa hamridhishi angemuoa? Na kama anasema hajawahi pata mtamu kama mimi kama ningekuwa mtamu angekubali tuachane? si angenioa fasta.
Mwingine utamsikia ooh! mi bhana John alikuwa ananipenda ni mimi tu ndo nilimuudhi kwa kumcheat akaniacha. hahaaa kweli? Inamana hujawahi ona mwanamke mpenzi wake anamfumania but anamsamehe na kumuoa kabisa?.Ok basi umecheat ye alicheat mara ngapi ukamsamehe? kwamba wewe ndo una moyo wa chuma yeye wa nyama sio? tena saa zingine unakuta mwanamke umecheat na yeye ndo chanzo cha wewe kucheat.
Mwingine unakuta kakuzalisha,akakumbia bwana Asha tafuta mtu wa kukuoa maana mimi siwezi kukuoa, wewe sio type yangu, ntalea tu mtoto, siku ya siku et anaanza kukuambia ooh nakumisi,huyu mwanamke nlie nae hanipi vizuri kama wewe zamani,njoo basi, kweli mwanamke na wewe huyo unaenda kukumbushia? Kwa mtu ambaye keshakuambiaga wewe sio type yake na mbwembwe nyiiingi juu but unaenda kabisa seriously?
Kuna mwingine aliachika kwenye relationship yake mpya hadi sasa hivi umri umeenda hana hata mpenzi kwa huu ujingaujinga tu,Kampata mkaka wa watu mstaarabu mkaka yuko serious anataka kumuoa,bidada kajichanganya kwa X tena alieshaoa kajipeleka kwa X,jamaa kala kiulaini(,hivo na jamaa alimuachaga kwa mbwembwe acha tu!). mkaka kaja kugundua kwamba alienda kwa X then akampiga chini, Mkaka wa watu kapata mwanamke mwingine kaoa juzijuzi,Bibie anakuja kulialia jamani sa nitafanyeje nikamwambia tulia hivohivo acha kulia kinafki.