Hivi wanawake tunakuwaga tumelogwa ama?

Hivi wanawake tunakuwaga tumelogwa ama?

Umezungumzia upande mmoja tu, je unajua na wanawake nao huwa wanawatafuta wapenzi wao wa zamani wawakune? Tena kwa sababu hizo hizo kuwa hawakunwi vizuri huko walikoolewa. Je, na hapa unasemaje?


swali zuri kabisa hili..
 
Jumamosi ntakua na mechi ya kukumbushia na x wangu anarudi toka kijijin kwao alikoenda tembelea wazee wake. Ntaendelea kumla tu, maana hakuna namna nyingine.
Tulikua wapenzi, tukaachana. Tukarudiana, tukaachana, wakamtia mimba akazaa mtoto. Huyo aliyezaa naye hana mpango wa kumuoa. She is miss independent. Tukikutana kama kawa kama dawa. Kweli hawara hana talaka, ukimtaka unampata.

Mkiachana kwa amani, inapendeza kukumbushia.

Mkuu unastahili phD.....
 
Yaani apate genye huko aje nikumbuka mie???
Wadada! bora uwe na idadi ya wapita njia wengi kuliko kurudiarudia gumegume.

Mmmmmmh....
Hujapata ex aliyekukuna vizuri....mamii lazima urudi tuu kusuguliwa
 
Hivi wewe mwanamke una matatizo gani? Umepatwa na nini? Kazi yako ni kuwaponda wanaume na kuwazibia rizki?

Nani aliyekulogaaa???

Yani huyu Emoj akilala akiamka anawaza kuwaponda wanaume ....mara kuja kuharibu mipango ya watuu....

Waache bhana ma ex wetu.. wenyewe tunapendana... Emoj usiwaambie
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu ana namna yake ya kuchukulia katika swala zima la mapenzi.

Wengine mapenzi ni enjoyment.

Kuachwa ni matokeo tu, na kudadavuana ni kitu kingine tofauti
 
Huyu wa kwangu wa zamani asipokuja leo kwenye muadi tutaonana wabaya kazi kuharibia wenzenu mbona wote huwa tunafurahi hakuna anayedanganywa bhana acha hizo
 
Bado sijalogwa aisee.....kwa uwongo huu au mwengine!
 
Tuzungumze nn zaidi ya maisha tu ya kawaida. After all hana kinyongo na mm na siku zote hujilaumu mwenyewe alinipoteza bure. Anapenda sana kuolewa, lakini anajua mm sina mpango wa kuoa within 3 yrs to come. Na hataki mahusiano mapya labda aende muowaji. Anadai mtoto keshapata, atafute nn tena? Akiwa na genye, kidume chake nipo. Namkuna haswaaa tena nyumbani kwake mwenyewe. Housegirl wake na mwanae wananijua uncle wao.

Burudani maridhawa.

tho sikuelewi mara unasema anapenda kuolewa,mara unasema anadai mtoto keshapata atatafute nini tena ila Huyu ni udesparate unamsumbua,anaona keshazalishwa so akugande wewe huenda ukamuoa.
 
Umezungumzia upande mmoja tu, je unajua na wanawake nao huwa wanawatafuta wapenzi wao wa zamani wawakune? Tena kwa sababu hizo hizo kuwa hawakunwi vizuri huko walikoolewa. Je, na hapa unasemaje?

Huyo anayesema hakunwi vizuri muulize swali je alipokuwa na huyo anayedai anamkuna vizuri siku zote walizosex zilikuwa sawa,kwamba lazima kuna siku alienjoy sana siku ingine kawaida siku ingine kaambulia patupu kabisa.
 
Hivi wewe mwanamke una matatizo gani? Umepatwa na nini? Kazi yako ni kuwaponda wanaume na kuwazibia rizki?

Nani aliyekulogaaa???

sipondi mtu mpendwa. kama riziki ushapata mke/mpenzi mpya basi tulia nae na X wako asikubali kudanganywa na maneno yako ya uongo.
 
Yani huyu Emoj akilala akiamka anawaza kuwaponda wanaume ....mara kuja kuharibu mipango ya watuu....

Waache bhana ma ex wetu.. wenyewe tunapendana... Emoj usiwaambie

hahaaa siwapondi mpendwa, sa kama mlikuwa mnapendana si mngeoana jamani? sa hivi ndo mnakuja kujifanya mnapenda kumbe kuharibiana tu
 
Last edited by a moderator:
Huyu wa kwangu wa zamani asipokuja leo kwenye muadi tutaonana wabaya kazi kuharibia wenzenu mbona wote huwa tunafurahi hakuna anayedanganywa bhana acha hizo

pole maana hatokuja,kastukaa hahaa
 
hahaaa siwapondi mpendwa, sa kama mlikuwa mnapendana si mngeoana jamani? sa hivi ndo mnakuja kujifanya mnapenda kumbe kuharibiana tu

Sasa uowe wangapi? Akat unampenda mke na yule wa zaman stil yupo moyoni..
Emoj tafadhal..mambo mengine yakaushie tuu...

Ex watam
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom