Wanaume tena wa Tanzania ni waoga sana kupita kiasi, ni aibu kuwaita wanaume, niliwaona walivyokuwa wanakimbia hovyo siku ya panya road.
Umeongea kweli wanaume wa Tanzania ni waoga sana hasa huko Dar wanakovaa vibaraghashia.

Iwe Dar iwe popote, Tanzania ni Tanzania hata Nyerere alivaa baraghashia.
Smart911
Unataka kunambia hao wote waliopimwa wana ujauzito?
Leta ushahidi, wacha porojo. Kupimwa HIV ni hiyari ya mtu mpaka hii leo Tanzania hii na si lazima , na wajawazito wanajitolea kupimwa ili kama "wameukwaa" wawanusuru watoto zao.
Hivi hizo shule huwa mnakwenda kusomea ujinga?