Hivi wanawake Tanzania wanaongoza kuchepuka?

Hivi wanawake Tanzania wanaongoza kuchepuka?

mimi sisemi vibaya lakini kuna tatizo kubwa kwa dada zetu wa kibongo..asilimia kubwa hawathamini miili yao hasa maeneo ya uswahilini..yaani asubuhi anaweza gogwa na juma, mchana mudi jioni kwa hamisi..na hawajali kabisa..wao wakidhani ni ujanja kumbe ni ujinga wa hali ya juu..

Kama umechangia kwa kutumia hizo takwimu umechemka.
 
Wanawake wengi hugundulika kwa sababu wao wanabanwa zaidi kwenye upimaji wa VVU. Kama akiwa mjamzito ni lazima kupima, lakini mwanamume anaweza kukwepa sana kupima.

Wanaume waoga tu hakuna zaidi.
 
chuma cha mjerumani
5. Mwanaume mmoja anaweza kuwa na wanawake wanne na akawaambukiza wote VVU.
Hivyo itakua mwanaume mmoja, wanawake wanne.
 
Last edited by a moderator:
kumbuka hapa watu3 wamemgonga mtu mmoja kama ni Ration mdada ana 1:3,wakati jamaa wana 1:1.hivyo bado mdada ana watu 3,wakati jamaa amepiga 1 katulia zake,ambae ndo mdada.
So ..!!????
 
Wanaume waoga tu hakuna zaidi.

Ni vile tu hakuna apendae kugundulika anatatizo tena la maisha. Kwa mwanamke hana budi, kwa sababu ni lazima apimwe anapokuwa mjamzito mfano. kwa mwanaume anaweza kugoma kuwenda.
 
 
Last edited by a moderator:
Smart911
Unataka kunambia hao wote waliopimwa wana ujauzito?

Leta ushahidi, wacha porojo. Kupimwa HIV ni hiyari ya mtu mpaka hii leo Tanzania hii na si lazima , na wajawazito wanajitolea kupimwa ili kama "wameukwaa" wawanusuru watoto zao.

Hivi hizo shule huwa mnakwenda kusomea ujinga?
 
Last edited by a moderator:
Da Pretty
Hii uliosema ww hata demu anaweza akawana mtu mabibo hostel, kwa aunt kijichi na kwao Arusha.
Likini ninyi kuambukizwa ni rahi kitokana

1. Mpo wengi af mpo tayari hata kishare mabwana. Wake wawili hadi watatu. Kuchukuliana mabwana na waume za watu
2. Maumbile ya sehemu ya uke, yanaweza kuchubuka hata kwa kuingiza kidole tu au km hujaandaliwa vizuri
3. Kubakwa
4. Wengi vipato vidogo, hvyo hufanya km K ndo kitu kinacho mweka mjini
5. Viumbe dhaifu - rahisi kudanganyika kutokana na kuishi kwa kitegemea hisia za mwili kuliko akiri. Mwanaume kicheche anaweza kutumia technique za kumfanya demu ajione malkia au mzr na hvyo dem kujikuta ameshiriki ngono na baadae akajutia.

Kuna dada mmoja hapa kwetu alimcheat msela kisa eti hajui kucare cjui anasema, kisa kapata jamaa anajua kucare, kumbe kakutana na tapeli, ss kakosa mtoto na maji ya moto. Mnajikuta mnaambulia michepuko tu na mnaaribu future zenu, wanaume wa kweli huwezi kumjua akija kikutongoza, ni hadi uishi nae.
 
Last edited by a moderator:
Kabla hujaumiza kichwa kutafuta takwimu na kuchambua vitabu tumia muda kidogo kuutazama mfumo wa maisha wa wanawake wa leo.Siku hizi stara kwa wanawake katika upande wa mavazi limekuwa kitendawili imekuwa si jambo la kushangaza kuyaona mapaja ya mwanamke,si ajabu tena kutazama nguo ya ndani ya mwanamke.

Wanawake wa siku hizi ni kama wameifanya miili yao kama vitega uchumi au vyanzo vya mapato hivyo hulazimika kutembea na wanaume wengi hata kwa siku moja ili mradi tu kuwe na uwezekano wa kupatikana chochote bila kujali usalama wao wa afya zao....ile aibu ya mtoto wa kike siku hizi hakuna kabisa yaani aibu tunaona wanaume na kubaki na mshangao.

Kiufupi ni kuwa wanawake wengi wao hawajithamini kabisa si miili yao wala afya zao popote penye uwepo wa fedha mwanaume mmoja mwenye VVU anaweza kuwaambukiza hata wanawake kumi wa nyumba moja.

Huku mtaani ndio hali inazidi kuwa mbaya ,ngono zinaanzia darasa la nne na kuendelea...hakuna wa kumweka mwenzie sawa sio mama wala dada maana kila mtu anachuna mabuzi na baba yupo bize na vibinti....familia nyingi zimekuwa kama chombo kilichokosa nahodha kikiwa kinaelea tu majini bila uelekeo wowote kwani hakuna wa kukiongoza.

Kiufupi hali inatisha.
 
KikulachoChako

Umenikosha sana hapo familia nyingi zimekosa uelekeo kama chombo kilokosa nahodha!Ndo hapo najiuliza ninyi wababa mnaotaka kuheshimiwa kutiiwa na kutambulika kama viongozi kwenye familia zenu mbona sasa kazi imewashinda?

Ninyi si ndo manahodha? Tunategemea mna mbinu maarifa na ufahamu mkubwa wa kuendesha familia, cha ajabu tena mnakiri familia nymg zimekosa nahodha, au wenzetu mmeshuka chomboni?
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wengi kuwa na maambukizo siyo jambo la kushangaza. Hii ni kwa sababu wanaume wengi wana wanawake zaidi ya mmoja. Kuna wanaume wana wanawake hadi 5 kwa wakati mmoja.

Ina maanisha mwanaume mwathirika mmoja anaweza kuwaambukiza wanawake wengi kwa wakati mmoja. So hii inatokana na tabia ya uchepukaji wa wanaume siyo wanawake kuchepuka.
 
FaizaFoxy

Angalia vizuri nilichoandika alafu ndiyo uanze kuongea. Nimeweka neno mfano baada ya wajawazito, kwa hiyo ni kati ya mifano, sijamaanisha ni wajawazito pekee. Punguza jazba, ili ufikiri kwa ubongo na siyo...
 
Last edited by a moderator:
Hapana tatizo kubwa wanawake ni maamuzi wakati wa tendo yaani ni wakati gani mwanaume atavaa kondom na wakati gani ataamua asivae kondom wanawake wengi hawana maamuzi thabiti juu ya hilo ni wewe mwanaume ndiye refa na hilo ndilo linalowagharimu sana akina dada wengi
Kwa hiyo akikutana na linyang'au lenye ngoma lazima amwambukize
 
Wanawake wengi hugundulika kwa sababu wao wanabanwa zaidi kwenye upimaji wa VVU. Kama akiwa mjamzito ni lazima kupima, lakini mwanamume anaweza kukwepa sana kupima.

Mkuu mchango wako unaukweli 100%.!
 
FaizaFoxy

Angalia vizuri nilichoandika alafu ndiyo uanze kuongea. Nimeweka neno mfano baada ya wajawazito, kwa hiyo ni kati ya mifano, sijamaanisha ni wajawazito pekee. Punguza jazba, ili ufikiri kwa ubongo na siyo...

Hata sikuelewi unaongelea nini.
 
Back
Top Bottom