Hivi wanawake mkoje?

Ndio hatma yenu
 
Si kila mtu atakuambia hakutaki ni utaombwa hela tu ukimbie mwenyewe, tena huyo kaomba hela ndogo wengine huwa wanataja hela nyingi na namba yake unafuta hapo hapo. Jiongeze
Sasa si kanipa namba mwenyewe bila kumfosi dadeq
 
Wanakuja wahusika kukupa ufafanuzi
 
Hawanaga mshipa wa aibu
Hawajui kulia timing
 
Ajira hamna, kupitia mahusiano kwao ni ajira ndio maana mizinga mingi. Kama anakupenda kweli atakushauri namna ya kutafuta hela na si namna ya kutumia hela.
Afadhali wanawake wanapiga mzinga. Wanaume akishakuona una hela anajifanya anakupenda wee, kumbe anakulia timing tu. Baadae anakutapeli kabisa!!
Siku hizi waume kwa wake wote wanaangalia masilahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…