Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 2,491 Reaction score 3,363 Aug 30, 2025 Thread starter #221 Balqior said: Karudi, au umejirudisha kwake we jamaa ni simp pro max π Scott junior Click to expand... Amna mzee wangu. Timing tu Huo ujinga sina sio kwa nondo zile za Natafuta Ajira
Balqior said: Karudi, au umejirudisha kwake we jamaa ni simp pro max π Scott junior Click to expand... Amna mzee wangu. Timing tu Huo ujinga sina sio kwa nondo zile za Natafuta Ajira
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,347 Reaction score 56,075 Aug 30, 2025 #222 Hulda-Tamarri said: Afadhali wanawake wanapiga mzinga. Wanaume akishakuona una hela anajifanya anakupenda wee, kumbe anakulia timing tu. Baadae anakutapeli kabisa!! Siku hizi waume kwa wake wote wanaangalia masilahi. Click to expand... Ni muhimu kugawana majukumu kwenye mahusiano, mfano; wewe utalipia kodi, yeye atalipia chakula n.k
Hulda-Tamarri said: Afadhali wanawake wanapiga mzinga. Wanaume akishakuona una hela anajifanya anakupenda wee, kumbe anakulia timing tu. Baadae anakutapeli kabisa!! Siku hizi waume kwa wake wote wanaangalia masilahi. Click to expand... Ni muhimu kugawana majukumu kwenye mahusiano, mfano; wewe utalipia kodi, yeye atalipia chakula n.k
BravoZulu JF-Expert Member Joined Sep 16, 2021 Posts 1,824 Reaction score 3,757 Aug 30, 2025 #223 Balqior said: Karudi, au umejirudisha kwake we jamaa ni simp pro max π Scott junior Click to expand... ππnyundo
Balqior said: Karudi, au umejirudisha kwake we jamaa ni simp pro max π Scott junior Click to expand... ππnyundo
Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 10,493 Reaction score 17,535 Aug 30, 2025 #224 Mzee Kigogo said: Papuchi na hela vinahusiana vipi?! Click to expand... Amehlo said: ππππuhusiano upo mkuu Click to expand... Kivipi?
Mzee Kigogo said: Papuchi na hela vinahusiana vipi?! Click to expand... Amehlo said: ππππuhusiano upo mkuu Click to expand... Kivipi?
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 51,629 Reaction score 74,037 Aug 30, 2025 #225 Covax said: Hujui mapenzi kwa wanawake ni investment au kitega uchumi? Click to expand... ππ Hajui kuwa ni ajira hiyo
Covax said: Hujui mapenzi kwa wanawake ni investment au kitega uchumi? Click to expand... ππ Hajui kuwa ni ajira hiyo
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 51,629 Reaction score 74,037 Aug 30, 2025 #226 Amehlo said: πππππmtu asiombe help mbona nyie mnaombaga papuchi hapohapo Click to expand... Help ya nyoko π
Amehlo said: πππππmtu asiombe help mbona nyie mnaombaga papuchi hapohapo Click to expand... Help ya nyoko π
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 51,629 Reaction score 74,037 Aug 30, 2025 #227 Rich Aunt said: Mipango ipi zaidi ya kumtomba tu mpunguze uongo Click to expand... Kwani utamu siwanapata wote
Rich Aunt said: Mipango ipi zaidi ya kumtomba tu mpunguze uongo Click to expand... Kwani utamu siwanapata wote
Pa-Paa JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 2,207 Reaction score 3,186 Aug 30, 2025 #228 Mimi ataka hiyo Reply yako uloikata hapo chini ndo nichangie mada vizuri.
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 51,629 Reaction score 74,037 Aug 30, 2025 #229 Rich Aunt said: Hali ya uchumi ni mbaya sana, mwanamke anaomba 5000 means ana dhiki, mwanaume analalamikia 5000 means ana dhiki, umasikini ni mbaya Click to expand... Hapana kulala Mika kuombwa sio umaskini ni kero na kushangaa namna ambavyo mmong'onyoko wa maadili unavyozidi kushika kasi
Rich Aunt said: Hali ya uchumi ni mbaya sana, mwanamke anaomba 5000 means ana dhiki, mwanaume analalamikia 5000 means ana dhiki, umasikini ni mbaya Click to expand... Hapana kulala Mika kuombwa sio umaskini ni kero na kushangaa namna ambavyo mmong'onyoko wa maadili unavyozidi kushika kasi
P Paul Mackie Senior Member Joined Feb 20, 2025 Posts 102 Reaction score 128 Aug 30, 2025 #230 Bora we buku tano,mi niliombwa laki moja baada tu ya kumtongoza nikajisemea moyoni una laaaana
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,792 Aug 30, 2025 #231 Weka namba yake inbox nimshauri
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Aug 30, 2025 #232 hearly said: Help ya nyoko π Click to expand... πππππππ
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Aug 30, 2025 #233 Mzee Kigogo said: Kivipi? Click to expand... huwezi kuelewa
Ukwelinasema JF-Expert Member Joined Feb 10, 2021 Posts 733 Reaction score 926 Aug 30, 2025 #234 Paul Mackie said: Bora we buku tano,mi niliombwa laki moja baada tu ya kumtongoza nikajisemea moyoni una laaaana Click to expand... ππungempa tu mkuu siunataka utelezi
Paul Mackie said: Bora we buku tano,mi niliombwa laki moja baada tu ya kumtongoza nikajisemea moyoni una laaaana Click to expand... ππungempa tu mkuu siunataka utelezi
gwangaeto JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 653 Reaction score 759 Aug 30, 2025 #235 We jamaa auko sirias, unakosa papuchi kisa ujinga wako, we mwambie aje achukue afu akija mwambie avue chupi kwanza. Nb. Kumpa ela dem bila kupiga mashine ni sawa na kununua kiroba cha presha.
We jamaa auko sirias, unakosa papuchi kisa ujinga wako, we mwambie aje achukue afu akija mwambie avue chupi kwanza. Nb. Kumpa ela dem bila kupiga mashine ni sawa na kununua kiroba cha presha.
Mkenye Mkuu JF-Expert Member Joined Aug 20, 2023 Posts 218 Reaction score 403 Aug 31, 2025 #236 Equation x said: Ni muhimu kugawana majukumu kwenye mahusiano, mfano; wewe utalipia kodi, yeye atalipia chakula n.k Click to expand... Hapana, kila mtu aishi kama alivyokuwa akiishi kabla hamjakutana
Equation x said: Ni muhimu kugawana majukumu kwenye mahusiano, mfano; wewe utalipia kodi, yeye atalipia chakula n.k Click to expand... Hapana, kila mtu aishi kama alivyokuwa akiishi kabla hamjakutana
Melancholic JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 3,546 Reaction score 6,502 Aug 31, 2025 #237 Balqior said: Karudi, au umejirudisha kwake we jamaa ni simp pro max π Scott junior Click to expand... Jamaa fala kweli huyu ni simp pro max
Balqior said: Karudi, au umejirudisha kwake we jamaa ni simp pro max π Scott junior Click to expand... Jamaa fala kweli huyu ni simp pro max
Godoro la kioo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 364 Reaction score 735 Aug 31, 2025 #238 Rich Aunt said: Hali ya uchumi ni mbaya sana, mwanamke anaomba 5000 means ana dhiki, mwanaume analalamikia 5000 means ana dhiki, umasikini ni mbaya Click to expand... Kuna kitu hujakielewa ishu sio kumpa hela shida inakuja unampa hela Kama Nani kumbuka muda huo hata kumtongoza bado
Rich Aunt said: Hali ya uchumi ni mbaya sana, mwanamke anaomba 5000 means ana dhiki, mwanaume analalamikia 5000 means ana dhiki, umasikini ni mbaya Click to expand... Kuna kitu hujakielewa ishu sio kumpa hela shida inakuja unampa hela Kama Nani kumbuka muda huo hata kumtongoza bado
Godoro la kioo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 364 Reaction score 735 Aug 31, 2025 #239 Rich Aunt said: Mipango ipi zaidi ya kumtomba tu mpunguze uongo Click to expand... Rich Aunt said: Mipango ipi zaidi ya kumtomba tu mpunguze uongo Click to expand... Na hiyo ndo mentality inayowasumbua wanawake karibia wote kwa kudhani kila mwanaume anataka kula na kwenda Kuna mwingine anakuwa anahitaji mke wa kuoa
Rich Aunt said: Mipango ipi zaidi ya kumtomba tu mpunguze uongo Click to expand... Rich Aunt said: Mipango ipi zaidi ya kumtomba tu mpunguze uongo Click to expand... Na hiyo ndo mentality inayowasumbua wanawake karibia wote kwa kudhani kila mwanaume anataka kula na kwenda Kuna mwingine anakuwa anahitaji mke wa kuoa
Godoro la kioo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 364 Reaction score 735 Aug 31, 2025 #240 Atoto said: Mkuu kama shida hazivuti muda, why tukuvutie muda!!! Click to expand... Kwani kabla humjakutana ulikuwa unaishije
Atoto said: Mkuu kama shida hazivuti muda, why tukuvutie muda!!! Click to expand... Kwani kabla humjakutana ulikuwa unaishije