Hivi wanaume wote wako hivi?

Hivi wanaume wote wako hivi?

mkeo ulimtoa wapi? reminds me of my grandma....

anyway, that aside...inabidi muache hiyo kazi ya kufyatua matofali sasa yanatosha anza kujenga ofkozi hapo itabidi tu ujifunze kuenjoy with ur team oh sorry kids....

Mdomo huo. Usijeiga !!
 
...
...una mawazo sbb UNAZAA KAMA MMASAI....uzazi wa mpango huna....unatotolesha to ka kuku...na bado utakoma...wait waanze shule ndio utajua.....wauze 3 ukitaka...nina zako

ss kiongozi, ushauri wko ni kuhusu mauzo ya watt wa3 ........mshauri kitu cha maana plz!
 
hawa watoto wote ni wa kwako au umesaidiwa watoto sita duh nouma kwa miaka 37
 
Nina miaka 33 nimeoa miaka 7 iliyopita nimejaaliwa watoto 6, hali yangu ya kimaisha sio mabaya ninao uwezo wa kifedha. Turudi kwenye topic nimekuwa nimtu mwenye mawazo kila wakati Nafsi yangu haina raha nasijui tatizo ninini, tuna maelewano mazuri sana namke Wanguu hatuna ugomvi, tatizo hili limeanza kama mwaka mmoja umepita nasiku zinavozidi kwenda ugonjwa huu naona unazidi kuwa Mkubwa kwangu. Situmii kilevi cha Aina yoyote ile Jamani embu nisaidieni natamani sana kufurahia maisha

ukiona hivo ujue kuna upweke katika nafsi na unahimuhitaji YESU ili upate faraja katika nafsi lakini uhakika wa maisha ya milele baada ya haya ya duniani kuisha.

na mie nilikua hivo wakati niko ulimwenguni, nilivompa tu YESU maisha yangu, nina amani sana.
 
Pole sana mdogo wangu,kwa kuwa hujawa muwazi juu ya chanzo chako cha msongo wa mawazo lakini kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa maisha yako ya nyuma hayakuwa na records nzuri na kwa kuwa umesema maisha yako ni mazuri japo hujaeleza unafanya kazi gani au biashara gani inawezekana ulifanya mambo ya hovyo sana (illegal things) huko nyuma katika utafutaji wako sasa mambo hayo yanakurudi. Waone wataalamu wa saikolojia au viongozi wa dini na uwe muwazi watakusaidia.
Miaka 33 watoto 6 ndani ya miaka 7 ya ndoa hii si ya kawaida,unatisha.
 
Nina miaka 33 nimeoa miaka 7 iliyopita nimejaaliwa watoto 6, hali yangu ya kimaisha sio mabaya ninao uwezo wa kifedha. Turudi kwenye topic nimekuwa nimtu mwenye mawazo kila wakati Nafsi yangu haina raha nasijui tatizo ninini, tuna maelewano mazuri sana namke Wanguu hatuna ugomvi, tatizo hili limeanza kama mwaka mmoja umepita nasiku zinavozidi kwenda ugonjwa huu naona unazidi kuwa Mkubwa kwangu. Situmii kilevi cha Aina yoyote ile Jamani embu nisaidieni natamani sana kufurahia maisha
Bingwa SV' MashAllah kwanza, Pili hongera Baba isikushtue hali hiyo kazi ndogo Mshukukuru Moula-karimu kukupa neema hiyo ya uzazi mwema.... hapa kuna watu wanatamani kamoja !! Sasa Msongo huo na ugonjwa ni wa kawaida tu... kujiondolea hayo itakubidi uanze programu za kuchukuwa likizo (holidays) kila baada ya miezi 4 ( yaani 3Q ) kwa mwaka usafiri nje ya mji mara 3, iwe na family au pekee.... hapo jipange likizo ni kumpunzisha routine za kila siku. utakuwa fresh mkuu. UBARIKIWE sana.
 
Jazakallah kheyr
 
Nasasa ni mjamzito tena wa miezi miwili kuwa nawatoto wengi sio kitu cha ajabu Jamani kwa miaka hiyo niliyo itaja ALLAH akiamua kukupa anakupa bila hesabu
 
ukiona hivo ujue kuna upweke katika nafsi na unahimuhitaji YESU ili upate faraja katika nafsi lakini uhakika wa maisha ya milele baada ya haya ya duniani kuisha.

na mie nilikua hivo wakati niko ulimwenguni, nilivompa tu YESU maisha yangu, nina amani sana.
Ndani yanafsi yangu yupo ALLAH
 
Nina miaka 33 nimeoa miaka 7 iliyopita nimejaaliwa watoto 6, hali yangu ya kimaisha sio mabaya ninao uwezo wa kifedha. Turudi kwenye topic nimekuwa nimtu mwenye mawazo kila wakati Nafsi yangu haina raha nasijui tatizo ninini, tuna maelewano mazuri sana namke Wanguu hatuna ugomvi, tatizo hili limeanza kama mwaka mmoja umepita nasiku zinavozidi kwenda ugonjwa huu naona unazidi kuwa Mkubwa kwangu. Situmii kilevi cha Aina yoyote ile Jamani embu nisaidieni natamani sana kufurahia maisha
Mkuu badili mazingira time 2 time... jiwekee timetable ya maisha (kazi,mjumuikoo wa kifamilia,starehe,mazoezi,mapumziko,nk) utoe sadaka kidogo katika mali yako.
 
Kaka yangu nimesahau kukumbusha hadithi hii *{1. Manaqasa Malan min Swadaqa / 2. Dawii Mardhakum Biswadakat }* maana yake 1. Hutopunguza mali yako katika kutoa Sadaka....!
maana yake 2. Jitibu maradhi/magonjwa yenu kwa kutoa sadaka....!
Ninaamini utajifariji nafsi yako na kuwajenga wanao kiafya... Tena waonyeshe matendo mema uyafanyao, ili nao waige mazuri.
Good luck and get well soon.
 
Nina miaka 33 nimeoa miaka 7 iliyopita nimejaaliwa watoto 6, hali yangu ya kimaisha sio mabaya ninao uwezo wa kifedha. Turudi kwenye topic nimekuwa nimtu mwenye mawazo kila wakati Nafsi yangu haina raha nasijui tatizo ninini, tuna maelewano mazuri sana namke Wanguu hatuna ugomvi, tatizo hili limeanza kama mwaka mmoja umepita nasiku zinavozidi kwenda ugonjwa huu naona unazidi kuwa Mkubwa kwangu. Situmii kilevi cha Aina yoyote ile Jamani embu nisaidieni natamani sana kufurahia maisha

We unaakili kma za Rich Mavocco kuwa " mjini msingi kiuno" watoto sita lazma uwe na mawazo hyo n team ya basketball kabsaa mkuuu
 
Nasasa ni mjamzito tena wa miezi miwili kuwa nawatoto wengi sio kitu cha ajabu Jamani kwa miaka hiyo niliyo itaja ALLAH akiamua kukupa anakupa bila hesabu

Hongera sana! unatakiwa mwenyewe ujue kipi hasa kinakutatiza ndio ujue kwa kuanzia kutatua hilo tatizo ulilonalo.

Kama sijakosea watoto si tatizo kwako! na hongera kwa kuwa nao hao na Mwenyezi Mungu awajaalie mkeo ajifungue salama inshaallah, kuna watu wanatafuta watoto hawapati
 
Utajulikana vipi kama ni bigwa wa kuzaa,Maisha ya karne hii watoto 6 ni wengi mno na huenda ndo wanakupa hayo mawazo.

Huo ni msalaba wako shurti uubebe wewe mwenyewe.
 
Kaka yangu nimesahau kukumbusha hadithi hii *{1. Manaqasa Malan min Swadaqa / 2. Dawii Mardhakum Biswadakat }* maana yake 1. Hutopunguza mali yako katika kutoa Sadaka....!
maana yake 2. Jitibu maradhi/magonjwa yenu kwa kutoa sadaka....!
Ninaamini utajifariji nafsi yako na kuwajenga wanao kiafya... Tena waonyeshe matendo mema uyafanyao, ili nao waige mazuri.
Good luck and get well soon.
Jazakallahu kheyr
 
Back
Top Bottom