- Thread starter
- #21
Mungu muweza wa kila jambo,hebu mshirikishe yeye atakusaidia
Nashukuru sana kwa ushauri wako
Mungu muweza wa kila jambo,hebu mshirikishe yeye atakusaidia
Umeoa miaka 7 iliuopita una watoto 6??
Wewe na mkeo hamna tatizo, ila mmebanwa na malezi maisha yamebadilika
Hapo Kwa Watoto 6 Braza Cjui Umekosea Au Ndo Nawewe Umejianzishia Nyota Nyeupe Badala Ya Kijana?
Nina miaka 33 nimeoa miaka 7 iliyopita nimejaaliwa watoto 6, hali yangu ya kimaisha sio mabaya ninao uwezo wa kifedha. Turudi kwenye topic nimekuwa nimtu mwenye mawazo kila wakati Nafsi yangu haina raha nasijui tatizo ninini, tuna maelewano mazuri sana namke Wanguu hatuna ugomvi, tatizo hili limeanza kama mwaka mmoja umepita nasiku zinavozidi kwenda ugonjwa huu naona unazidi kuwa Mkubwa kwangu. Situmii kilevi cha Aina yoyote ile Jamani embu nisaidieni natamani sana kufurahia maisha
Huwa unatindikiwa na aina gani ya mawazo?
Halafu mkuu miaka 33 una watoto 6, hao watoto ni mapacha pair tatu au kila mtoto mmoja alizaliwa kipeke yake ndani ya miaka hiyo 7?
Nami nimeshangaa pia huyo mke duh hata kama ni haraka sio hivyoo
Wewe noma aisee.Wala sijakosea watoto 6 ndani ya miaka 7 watano wakiume mmoja wakike,inawezekana ikawa nimajukumu yamekuwa mengi ndio sababu mawazo hayaniishi kichwani kwasababu huwa nakumbuka sana maisha ya zamani
umejenga ama umebomoa?...
...una mawazo sbb UNAZAA KAMA MMASAI....uzazi wa mpango huna....unatotolesha to ka kuku...na bado utakoma...wait waanze shule ndio utajua.....wauze 3 ukitaka...nina zako